Christinah
Senior Member
- Nov 13, 2014
- 100
- 17
Huo utakuwa ni ulimwengu wa kihoro na chanzo chake kikuu ni ukosefu wa njulugu!!
Nimeiona huko IG,ila nashindwa kuamini ndo maana nikaona niilete huku,je Ni kweli au Ni maneno tu?
Mawazo yenu tafadhali.
ni dhana potofu, vipi wanaovaa miguu bandia na meno bandia
Nimeiona huko IG,ila nashindwa kuamini ndo maana nikaona niilete huku,je Ni kweli au Ni maneno tu?
Mawazo yenu tafadhali.
kwani anae vaa mguu bandia anakua anamguu asilia kama hao wanaovaa hizo nywele? au unakua umevunjika? we mungu kakuumba mu_afrika unataka kuonekana kama mzungu, kama sio kuukosoa uumbaji wa mungu ni nini?