Kuna uhusiano wowote wa Waziri Jafo kuwa mwislamu na hasira kali aliyopata hadi kumsimamisha mtumishi mlevi kazi?

Hivi kuna dini inaruhusu kulipa kisasi? Hasa kwa kutoa roho ya mtu?
Wkristo wenzangu mnaomtetea huyo jamaa na kulaumu maamuzi ya Jafo mnanishangaza sana...

Hivi huyo jamaa angerudije kazini... Unafikiri angeishi vp na watumishi wwnzake hasa waislam??

Wangemuua on spot!

Jafo yuko sahihi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachangiaji wengi humu wametoa Maoni yao kwa kubebwa zaidi na Masuala ya Imani zao ,hili ni Tatizo tena kubwa sana kwa wafia Dini wote.Ni kufikiri vibaya kwa mapokeo haya ya Imani za Watu na kuamini kuwa Dini ndio kila kitu.
 
Hiyo Juzuu sijui Koran ilichanwa mwenyewe ni nani?

Alokuwa nayo naye si achukue Biblia aichane na kunena yale alisema jamaa huyo mlevi?

Ili ngoma iwe droo .

Uhai wa binadamu ni wa thamani sana na ajuaye ni Mungu tu,

Sasa Mtake kumdhuru mtu sababu ya makatatasi tu?

Hapo inahitajika hekima na busara za kama Mfalme Suleman,

Angeuliza hicho kitabu kilichochwana kilikuwa cha nani?

Akijitokeza atamuuliza kwani huyu alochana yeye anaamini katika kitabu kipi?

Jamaa atajibu labda mfano BIblia,

Ataambiwa leteni Biblia,

Ikishaletwa anapewa yule alochaniwa juzuu yake,

Ataambiwa Haya na wewe ichane yake na sema maneno alosema jamaa wakati wa kuchana na ukipenda sema zaidi ya yale alosema yeye siliba uwezavyo

Akinaliza anaulizwa umemaliza atasema ndiyo.

Basi unawaambia watakiane amani wapeane mikono maisha yaendelee bila visasi wala chuki.


Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni utoto kabisa, huwa nasikia kichwa maji yawezekana ndiyo hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu humu wanavichwa vya hovyo sana! Hawaoni mifano ktk nchi nyengine namna dini zinavyowaumiza haswa pande mbili zisipo elewana!

Kupitia tukio hili kuna watu humu wameshaanza kutoleana maneno,hivyo hi ni moja ya athari ya tukio lile!

Mambo huanza kama tone lkn hujaza bahari.. mambo kama haya huwa yanahitaji hekima na si kujitapa ama kudhihaki!! Ni bora ukahoji kuliko kudhihaki!

Kama mtu unajiona wewe kwenye mambo ya dini huwezi mijadala na huwezi kuzizuia hisia zako ni bora ukapita ukaenda kwenye udaku! Dini sio sehemu ya mashindano hakuna kitu kama hicho!

Huyo jamaa anastahiri hiyo adhabu,Ni vyema tufahamu athari ya vitu tulivyonavyo na vyengine kama huviwezi ni bora kufungilia mbali upuuzi, nashauri wengine mpite kwa kusoma tu mambo ya dini yanahitaji hekima kubwa na haswa ya utambuzi ktk pande hizi mbili zote, saikolojia na ubongo unaowaza sahihi.

Mihemko tu ya Imani na wewe inakusumbua Mkuu。
 
Ni swali, naomba kueleweshwa. Huyu mchana Kurani, mlevi, akiwa nje ya kazi, akiwa amelewa, amebishana kijiweni, akachana, huku akiwa anayumba yumba kwa ulevi, na baada ya kuchana hakuna madhara hatarishi ya kiusalama yaliyotokea.

Ghafla kasimamishwa kazi kwa kuchana Kurani. Waziri amefanya sawa kumsimamisha kazi kweli?

Kwanini hakutizama na kusisitiza walio juu yake waangalie hatua za kinidhamu, zilizopo kisheria zichukue hatua kama zipo? Au kwasababu Waziri naye ni Muisilam?

Naona amekuwa fasta sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda aliona vyombo vya sheria vimechelewa kumshughulikia!!

Na iwe hivyo kwa watumishi wote watakaotenda makosa ya jinai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni swali, naomba kueleweshwa. Huyu mchana Kurani, mlevi, akiwa nje ya kazi, akiwa amelewa, amebishana kijiweni, akachana, huku akiwa anayumba yumba kwa ulevi, na baada ya kuchana hakuna madhara hatarishi ya kiusalama yaliyotokea.

Ghafla kasimamishwa kazi kwa kuchana Kurani. Waziri amefanya sawa kumsimamisha kazi kweli?

Kwanini hakutizama na kusisitiza walio juu yake waangalie hatua za kinidhamu, zilizopo kisheria zichukue hatua kama zipo? Au kwasababu Waziri naye ni Muisilam?

Naona amekuwa fasta sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waislam ni wafia dini..yaani Waislam wao dini kwanza natendo baadaye. Hisia nyingi sana. Afu Jafo awe Rais wakristo tumekwisha
 
Huyo mchanaji kweli kakosea, anachouliza jamaa, maamuzi ya waziri, hayasababishwi na uislamu wake? Kama hajayatoa kwa sababu ya uislamu wake, basi tuonyeshe kifungu cha sheria kinachompa madaraka hayo..
Hilo ndilo lilikuwa swali la mleta thread hii. Yaani huyo waziri, hajasukumwa na UDINI wake kutoa maamuzi yale?
Kama KUADABISHWA, kwa nini asiwe Simbachawene?
 
Ukimwangalia vzuri wala haiumizi kichwa kugundua kua alikua amelewa hivyo huyu alipaswa kupuuzwa japo kakosea sana.

Naamini angechana Biblia wala hakuna hata ambae angeipost maana wangempuuza na hakuna ambaye angepata hacra kwa hilo, sasa kwakua kachokoza mwenyewe nnafikiri apate kinacho mstahili japo kwenye hadithi Mtume alipitia masuti na aliwasamehe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa nini hamku msamehe ?.

Ni nani alimpima na kuthibitisha kuwa alikuwa kalewa ?.
 
Back
Top Bottom