wiseboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 2,930
- 3,314
Habari Wakuu,
Nimeshuhudia shule nyingi mkiwa o level na vyuo vikuu usiriusness kwenye dini upo chini, ila mtu akifika form five na six (A' level) dini inashika hatamu hasa shule za bording yaani alfajili na mapema saa kumi usiku au kumi na moja unaamushwa na nyimbo za pambio za kuabudu toka madhehebu mbalimbali pia waislam nao utasikia wanaita wakibar...
yan ni full kumtukuza mungu...full kwaya...full maandalizi ya kanisani n.k
Kwa wale waliopo day schools niliwashudia wakati wa likizo wakiwa busy na biblia mikononi asubuhi na jioni wakienda mikutano mbalimbali ya dini na ibada za siku tofauti tofauti.
Lakini ndo watu hawa hawa wakimaliza form six na kujiunga na vyuo au kazi au kubaki nyumbani ule moto wa dini yan kuswal na kudali unapungua sana.
Nimewah sikia dada fulan walokole wakilaumu kwamba daaah upako na nguvu za ibada nilizokuwa nazo advance najarb kuzitafuta siwi kama vile.
Pia baadhi ya wake za watu wamewah kukiri kwamba advance walimjua mungu sana na hata wengne kudai kuongea na yesu ikibidi...ila baada ya hapo ziii
Nauliza kuna uhusiano gani kiumri, kimawazo, kimazingira, kiroho n.k wa kusali/kuswali sana advance kuliko O-Level vyuoni