Kuna uhusiano gani kutongoza na kusimama uume.

samsun

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
7,386
5,954
Natumai mko poa,kuna hili tatizo nilikuwa nakutana nalo sana kipindi cha nyuma yaani nipo na demu namtongoza lakini cha kushangaza huyu jamaa huku down kesha simama kidedea hii ikoje wadau ???
 
kilichokusukuma hadi utongoze mwanamke ni nini? majibu ya swali hili ndio majibu ya swali lako
 
Una imagine na ku visualise matukio, inafanya hormones zimiminke na kuchochea metabolism zngine ikiwepo kupeleka damu nyingi uumeni
 
Back
Top Bottom