Kuna uhusiano gani kati ya tamthilia za Kifilipino na mashoga?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,632
Mimi nashangaa kwamba kila tamthilia au movie ni lazima wawepo

Yaani ni pete na kidole

Nashindwa kujua ni kwanini kila tamthilia wawepo au ndo masharti ya waganga wa huko ufilipino

Mfano huyu hapo yupo kwenye tamthilia ya Asintado yaani kila tamthilia ya Kifilipino lazima shoga awepo!ni kwanini?

 
Ni masoga kweli au wanaigiza?
Kama wanaigiza ni usodoma tu ndio wanautangaza ili vizazi vitoboke....kama huku bongo ndio watoto wataathirika kwa kuiga maana hizo tamthilia zao kila nyumba wanaangalia shenzi sana hawa wafilipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…