Kuna uhusiano gani kati ya Lowassa na TBC?


director wa TBC anakuwa appointed na nani? is it possible kwa yeye kufanya kitu kinyume na bosi wake, ili hali wanajua kuwa Mhando alifukuzwa TBC kwa makosa ambayo CCM hawakuyataka?

guys think! you are wasting time to discuss about EL....na mko kimya kwa Kikwete kuzungumzia lami!!!!

poor tanganyikan....

ccm watawachezea hivi hivi
 
QWQEWPOIURL Naomba tuheshimiane, Siyo Lowassa ninaye mfahamu wakusema eti mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, ninani asiyejua kuwa ugumu wa maisha ya wanyonge kwa zaidi ya 50% ameyasababisha lowassa? how comes leo aseme hivyo na wewe bila kufikiri unakurupuka na kumshabikia, we mtoto wake?
 
Ww sio ndo walewale wanahabari makanjanja na njaa kali..mmeshanunuliwa!
 

umejenga hoja vizuri mkuu..umenishawishi.
 

Embu jenga hoja bosi wangu ushawishi wana-JF.vinginevyo huu utakuwa si kitu zaidi ya upayukaji tu.

Kama mtanzania,nimejifunza kuwa wengi wetu tumekuwa na tabia ya kudakia tu mambo na kuyafanyia conclusion bila kufanya uchunguzi wa kina.Mfano,wakati EL alipojiuzulu,karibu watanzania wote,bila kujali kuchunguza kwanza kwa undani juu ya uhusika wake,walimbatiza jina la fisadi.Kwa kipindi chote hiki mimi nimeishi nikiwa ni katikati,kati ya kumlaumu na kutomlaumu maana sijapata kitu tangible kinachomshikisha moja kwa moja kwenye kuingia ile deal ya richmond.

Mfano mwingine wa jinsi wengi wetu tunavyochukulia mambo kwa pupa,tukiongozwa na emotions ni jinsi wengi wetu tulivyobadilika ghafla mtazamo wetu juu ya EL mara baada ya kujulikana aliyoyasema kwenye mkutano wa CCM huko dodoma.hii inaonesha dhahiri hatuchimbi vya kutosha tukajua mambo kwa undani kabla ya kutoa hukumu.

Linalomtokea lowassa linaweza kukutokea hata wewe kwenye nafasi yako uliyonayo kwenye jamii,ama kazini kwako..yaani watu kukujengea hukumu ya ghafla bila substantial underlying facts.

Mungu atupe hekima.
 
labda nadhani sababu ni kwamba lowassa kwao ni karibu na marehemu sokoine kule monduli..sijaona sababu nyingine (mtazamo wangu)
 

Lowassa anajua udhaifu wa mfumo wa kisiasa na utawala tz, ndiyo maana anapigania kupitishwa na CCM na anajua akipita tu hapo hamna wa kumzuia...vita yake kuu ni hii ya ndani akishinda hii njia nyeupe 2015..sasa mnapojidanganya eti mtamuadhibu na kura au watz wanajua amechafuka hamna cha kufanya kingine..tume ya uchaguzi imeshatenga kura millioni kadhaa za mgombea wa CCM kura zenu zitamata kidogo sana.
 

hata lowasa hakuwa na hekima kwa nini alijiuzulu ghafla bila kujitetea, kumbuka alivyosema wakati anajiuzulu
 

Nakubaliana na wewe mkuu, Lowasa ndo amesababisha nchi hii ikawa ya tatu kwa kuomba omba, Lowasa ndo kauza mashirika ya Umma, Lowassa ndo kaua ATC, Lowassa ndo anasababisha ukame, Elimu mbovu, Lowasa aliagiza Jeshi la police liue waandamanaji Arusha, Lowassa.....
 
Waongo nyie wapiga debe mlituongopea Igunga ni paradiso mbona hatukukuta chochote leo unatwambia barabara wakati ni ile iendayo Karatu na Ngorongoro tu nyingine iko wapi? Kilamwaka tunaona Mengi akiwasomesha wasichana wa kimasai wamonduli utafikiri hakuna mbunge huko halafu mnaleta umbeya hapa. wenye bei ni nyie tu sisi hatununuliwi na fisadi ng'o
aa watu wameona mazuri yake,,kwanza nenda monduli kule uone barabara..yapo mengi usiangalie mabaya ya mtu na mazuri yapo
 



hapo kwenye red naungana na wewe bora mwizi wa nje anaeleta ndani na mwajibikaji kuliko mwizi wa ndani anaepeleka njee na sio mwajibikaji...nadhani kwenye top 3 ya mawaziri wakuu wa tz EL Yupo....tusiweke chuki ifike mahali tuweke uzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…