Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,454 Reaction score 166,964 Aug 13, 2010 #1 Je kuna ubaya gani kushea user id ya Jamii Forums mimi na mchumba wangu?
D Dick JF-Expert Member Joined Feb 10, 2010 Posts 477 Reaction score 9 Aug 13, 2010 #3 Nadhani ni halal, ni ishara ya upendo, ukaribu na uaminifu pia!
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,019 Aug 13, 2010 #4 mikela said: Je kuna ubaya gani kushea user id ya Jamii Forums mimi na mchumba wangu? Click to expand... Itabidi uvumilie mengi...........Maana kuna siku nitaanza kumtongoza.....usije ukaanza kujibu wewe............maana nitaona U-turn ya majibu.....tehe .......tehe...........
mikela said: Je kuna ubaya gani kushea user id ya Jamii Forums mimi na mchumba wangu? Click to expand... Itabidi uvumilie mengi...........Maana kuna siku nitaanza kumtongoza.....usije ukaanza kujibu wewe............maana nitaona U-turn ya majibu.....tehe .......tehe...........
Sumbalawinyo JF-Expert Member Joined Sep 22, 2009 Posts 1,282 Reaction score 250 Aug 13, 2010 #5 Pazito hapo. Hivi Jamii Forum wamesha anza kuuza user ID hadi mshee ID moja?