poa tu , nakushauri uanze na kutafuta house girl mwengine na huyo umpumzishe kazi, keshakuwa mkwe, halafu si dogo tayari keshampa ujaweight huyo HG, hongera unakaribia kuitwa bibi.
huyo dogo sidhani kama anajua chochote kuhusu uwajibikaji!that why yupo teyar kuoa GOLIKIPA tena amwache nyumban anahudumiwa na wazazi!naona anajiandaa kuletea wajukuu ndan ya nyumba ya wazazi wake.
kuna kitu cha hatari nakihisi hapo, inawezekana mnamfungia sana huyo mtoto wa kiume mpaka anaona ndio kafika hapo na hakuna cha kuexplore huko nje...si tabia nzuri kufungia watoto, hasa wa kiume!
umenena mkuu,huyu mtoto kwa mtazamo wangu,bado hajajitambua!(samahani lakini)angekua amepata muda wa kukaa na vijana wenzie,hasa wanaotoka katika familia zenye kipato kidogo,angalau angekua ameanza kujua nini maana ya majukumu!tofau
t na sasa labda yupo home tu,kila kitu anapata!hana muda wa kujishughulisha kuwaza maendeleo!ushauri wa mwisho,mtafutie hata kozi asome hicho kipindi anachosubiria kwenda kusoma!apart from that jiandae kupata mjukuu soon!