Je, kuna ubaguzi Tanzania?

Enock gabriel

JF-Expert Member
Apr 26, 2021
348
312
Jamani tumeshuhudia Ulaya na nchi za Asia kama India, China n.k, kukiwa na ubaguzi wa kutisha wa rangi.

Je, kwa hapa Tanzania kuna Makabila yanabagua Makabila mengine na kuona wao ni superior wa Taifa?

Bora kwa Taifa kuliko makabila mengine, kiakili n.k?
 
Ubaguzi upo sana.Kuna nchi ulaya waafrika wanagombea hadi ubunge lakini fikiria iwapo ni rahisi kumpa ubunge mzungu huku kwetu.Kwanza tunawaita mababeru.
Pia fikiria jinsi watu wanavyochukia albino kiasi cha kudhani hawana haki ya kuishi. Akiishi kawaida, kuna watu wanaumia na hata kuwatukana wakitamani waishi kinyonge tu
 
Jamani tumeshuhudia Ulaya na nchi za Asia kama India, China n.k, kukiwa na ubaguzi wa kutisha wa rangi. Je, kwa hapa TZ kuna makabila yanabagua makabila mengine na kuona wao ni superior wa Taifa? Bora kwa Taifa kuliko makabila mengine, kiakili n.k? Maoni tafadhali!


Ubaguzi Tz ni hakuna
 
Back
Top Bottom