MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,180
Kwani ukimjibu bila kumkejeli kuna shida gani??acha ushamba. vsa unaipata ktk ubaloz wa nchi unayoenda. passport unaipata ktk wzara ya nchi yko na huwez kutembelea nchi bla kua n vsa wala passport vyte muhm