Kuna tofauti gani kati ya picha hizi mbili?

Kuna tofauti gani kati ya picha hizi mbili?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,111
Reaction score
34,946
Naomba unieleze tafauti ya picha hizi mbili.Ukilipata swali hili basi wewe akili zako sio za kawaida.

TOFAUTI KATI YA HIZI PICHA MBILI.jpg
 
Uyo jamaa anayeingiaaa....Picha ya kwnza na ya pili tofaut ya uyo jamaa ni aina ya viatu alivovaaa
 
Mishale wa saaa iko tofauti... Hapo hapo karibu na saa kuna kama symbol ya $ lakini kwingine kuna S pekee
 
Huyo jamaa anaekua kama anamfundisha mtoto sehem moja kashika sijui pen nyekundu nyingine hana
 
Picha ya kwanza huyo cowboy kavaa boots wakati ya pili kavaa viatu, Saa ni tofauti pia na saa ya pili
 
Picha ya kwanza kitimoto kanyanyua (nywele za mgongoni) mkia ila ya pili umelala
 
Back
Top Bottom