Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,284
Wakuu kuna tofauti gani kati ya "OPERATION SANGARA" na "M4C"?
Na ni kwanini CHADEMA wameamua kushift kutoka Operation Sangara kwenda M4C? Yeyote anae jua tafadhali atuelimishe maana na tofauti kati ya hizo movement tajwa.
Mkutano wa mwisho wa Operation sangara ulifanyika Wilaya ya Temeke, km sikosei Viwanja vya Zakhem wakati eneo hilo likiwa na wafuasi wengi wa CUF kabla ya 2010
Vurugu iliyotokea haikujulikana ni CCM au ni CUF ambapo ilibidi Polisi waingilie kati, baada ya hapo sikuisikia tena Operation sangara Alfu Lela Ulela sijui nimekujibu ulivyotaka au unataka kujua km Movement zote zipo na zinaendelea?
km ni hilo ngoja waje waliobadilisha hadi kuwa M4C
Last edited by a moderator: