Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 663
- 610
Naipenda sana hyo fani mkuu jitahid kunielekeza ambacho unahisi kitanisaidia kutimiza ndoto zangukama toka utoton huna utundu na hayo mambo sikushauli hata ukasome,,,,,elimu ya bongo kumezeshana madesaa tuuuu .......utamaliza chuo unaweka vyet ndan tuuuu.....kama unaifeel kutoka moyon sawaa .....saiz huwez kunielewa ila siku ukimaliza ndo utaelewa
kama toka utoton huna utundu na hayo mambo sikushauli hata ukasome,,,,,elimu ya bongo kumezeshana madesaa tuuuu .......utamaliza chuo unaweka vyet ndan tuuuu.....kama unaifeel kutoka moyon sawaa .....saiz huwez kunielewa ila siku ukimaliza ndo utaelewa
Bado hamjamuelewa Swali lake mfafanulieni IT na ICT.huu ndo ukweli, theory nyingi vitendo hakuna.
watakulazimisha ukalili upate GPA nzuri hata kama huelewi maana unaogopa kusap.
namshauri ajifunze you tube kuna tutorial nzuri sana na atatimiza matakwa ya ndoto zake kwa huo muda wa miaka 2 bila kukaa darasani.
Anayesoma IT anakuwa bora kuliko aliyesoma ICTNa je mtu atakaesoma ICT anaweza kuwa na ujuzi sawa na aliesoma IT?
Ukisoma ICT unaweza kupata ajira zipi? na Je utakuwa na uwezo wa kutengeneza website za kila namna from scratch na kutengeneza APP za kila namna?Anayesoma IT anakuwa bora kuliko aliyesoma ICT
Kutengeneza website hata usiposoma hizo utaweza mkuu, tafuta jamaa yeyote anayejua akuelekeze au kakomae youtubeUkisoma ICT unaweza kupata ajira zipi? na Je utakuwa na uwezo wa kutengeneza website za kila namna from scratch na kutengeneza APP za kila namna?
Bila kusahau na kale kaujuzi ka kuhack system unayoitaka
Mkuu kozi hizi zinafanana ila ndani ya kozi hizi kuna categories tofauti ikiwe website design, programming, network, n.k ila ukisoma kozi huwezi kuwa proffenal moja kwa moja nakushauri tafuta kimoja kati vitu vilokuwemo ktk IT au ICT ukasome km niZa mda huu wanajopo.
Naomba msaada wenu kwanza nijue tofauti ya computer -science
-IT
-ICT
Na pia nijue ktk hizo ni kozi gari ni bora na itaniwezesha kucheza vyema na mitandao kisha naomba mniambie ni chuo gani kinafundisha vyema kozi hiyo ngazi ya certificate?
Elim yako mkuu ikoje?Ukisoma ICT unaweza kupata ajira zipi? na Je utakuwa na uwezo wa kutengeneza website za kila namna from scratch na kutengeneza APP za kila namna?
Bila kusahau na kale kaujuzi ka kuhack system unayoitaka
Jamani hata ku Google ni shida! Kwenye codes siitakuwa shida!Bado hamjamuelewa Swali lake mfafanulieni IT na ICT.