Kuna tofauti gani kati ya Bachelor Degree hizi?

PutinV

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
1,046
1,637
Heshima kwenu wana JF.

Naombeni ufafanuzi kwenye utofauti kati ya faculty ambayo ni BACHELOR DEGREE IN [PARTICULAR FIELD] na BACHELOR OF SCIENCE IN [PARTICULAR FIELD].

Nawasilisha.
 
Tofauti ni moja ni Bachelor degree na nyingine ni Bachelor of Science

Ila zote ni degree.... Soma kwa bidii kijana upate elimu. Huo utofauti hautakusaidia lolote

BTW na wewe unaweza kunisaidia tofauti kati ya Kaa na kaa?
 
Tofauti ni focus. Hiyo ya Bachelor of Science ime focus zaid kwenye science/technical aspects za hio field.
 
Kwa hio wanafunzi wake wanasoma course sawa au tofauti. Naomba jibu kama hutojali mkuu.
 
Heshima kwenu wana JF.

Naombeni ufafanuzi kwenye utofauti kati ya faculty ambayo ni BACHELOR DEGREE IN [PARTICULAR FIELD] na BACHELOR OF SCIENCE IN [PARTICULAR FIELD].

Nawasilisha.
Bachelor of science imebase sana kwenye maswala ya kiutafiti, mfano bachelor of engineering (imebase kwenye matendo) kuliko bachelor of science in engineering.
 
Heshima kwenu wana JF.

Naombeni ufafanuzi kwenye utofauti kati ya faculty ambayo ni BACHELOR DEGREE IN [PARTICULAR FIELD] na BACHELOR OF SCIENCE IN [PARTICULAR FIELD].

Nawasilisha.
Bachelor degree in [......] ni designation inayotumiwa na vyuo vingi vilivyo chini ya NACTE sina hakika wanataka kutuambia nini. Designition ya universities chini ya TCU siku zote ni Bachelor of Arts or Bachelor of science in [............]. Kuna chache ziko tofauti kama Doctor of Medicine (MD), Bachelor of Veterinary Medicine (BVM) etc.
Binafsi sipendelei hii ya Bachelor Degree in [.........] haina ladha mdomoni na machoni lakini zote ni degree zenye hadhi sawa.
 
Asante kwa maelezo mazuri mkuu
 
Back
Top Bottom