kuna tatizo media

kweleakwelea

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
3,066
1,535
Ndugu wanaJF,

nilifuatilia habari ya spika Wa bunge kumkatalia tundu lissu kujadili hatima ya mabomu ya gongo la mboto kwenye magazeti na kugundua kuwa haikupata respective coverage...

hapo nikawa na wasiwasi kuna namna ya mkono mrefu kuweza kutumika kushun information ambazo zinaweza kuturnish image za wakubwa..

imekaaje hii?
 
Mkuu tz hatuna free media manake hizi tulizonazo zinamilikiwa na mafisadi tu au kuna influence kubwa ya mafisadi. Ndo maana huwa nashauri tuwe na free and independent media!
 
Back
Top Bottom