NITATOA USHUHUDA
JF-Expert Member
- Jul 6, 2017
- 757
- 730
sawa mkuupole,tafuta mentor mwenye experience
asante mkuu, umenielewa ninachotaka kumaanisha ,siwezi tu kuandika kila kitu lakini iko hivyo sijui ni kwanini?ndomaana mkipanga mimba na mkeo haiingii ila piga beki3 ndoutajua kwamba usilias huwa unaenda kinyume
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu USERIOUS Ni Sawa na MASIFA.
Sasa uliona wapi MTU anafanya kitu kwa masifa kikafanikiwa?
Unaweza sali uzae chema ukazaa Shoga na msagaji mpagani akabakwa ikatungwa mimba akamzaa padri.
Sent using Jamii Forums mobile app
da kweli,natumia huu mtindo hata kwenye kubet ,najisemea nikipata pesa nafanyia upumbavu ndiyo nashindaNilijua ni mimi tokumbe tuko wengi yani nikisema
Nitafute hela nifanye kitu cha maana sipati ng'o lakini nikitaka kwenda kufanya vitu visivyokua na faida naipata fasta asa ninachokifanyaga najisemea ngoja nitafute hela nikalewe nikiipata nabadilisha mawazo hivyo hivyo mambo yanaenda
Tatizo lako ni IMANIMWANANGU ALICHUKUA MBEGU ZA MAHINDI AKAZIMWAGA SHAMBANI,ZILIOTA NA KUTOA MAVUNO YAKUTOSHA.
ILA NILIPOANZA KILIMO NA KUFUATA UTARATIBU WA KISAYANSI:MBOLEA BORA,ARDHI NA MBEGU BORA MAGONJWA YAMEKUWA YAKIATHIRI MAZAO YANGU.
HIVI NI KWANINI KITU NIKIKIFANYA KWA USERIOUS MKUBWA KINANISUMBUA?
mkuu haujawahi experience hii kitu
DuuhKwasababu USERIOUS Ni Sawa na MASIFA.
Sasa uliona wapi MTU anafanya kitu kwa masifa kikafanikiwa?
👍Nilijua ni mimi tokumbe tuko wengi yani nikisema