Serikali ya Magufuli itafanya hivi.......
Serikali ya Magufuli itafanya vile.......
Serikali ya magulfuli itakuwa hivi......
Serikali ya Magufuli itakuwa vile.......
Nawaza tu lakini.....maana mwalimu wangu wa Siasa aliniambia Serikali/Uraisi ni "Taasisi"
Kila ni kiangalia mabango ya mgombea urais kupitia CCM nina kuta ni Chagua Maghufuli na hakuna chagua CCM.
Najiuliza kwa nini wanajaribu kujiweka mbali na chama? Kuna nini ambacho wanakikwepa na itakuwa hivyo mpaka lini?
Ina maana ya CHAGUA MTU, USICHAGUE CHAMA. Wasi wasi wangu ni kwamba Magufuli anaweza kuchaguliwa yeye halafu madiwani na Wabunge wakatoka vyama vingine, atatoa wapi mawaziri ?Kila ni kiangalia mabango ya mgombea urais kupitia CCM nina kuta ni Chagua Maghufuli na hakuna chagua CCM.
Najiuliza kwa nini wanajaribu kujiweka mbali na chama? Kuna nini ambacho wanakikwepa na itakuwa hivyo mpaka lini?
wanaogopa wakisema ccm wataulizwa mbona hawakufanya siku zote. na hapa ndipo tunapowashauri upinzani wapakamate haswa maana ccm wanajua chama chao hakipendwi!
magufuli ni dreva makini anaendesha gari bovu.
Serikali ya Magufuli itafanya hivi.......
Serikali ya Magufuli itafanya vile.......
Serikali ya magulfuli itakuwa hivi......
Serikali ya Magufuli itakuwa vile.......
Nawaza tu lakini.....maana mwalimu wangu wa Siasa aliniambia Serikali/Uraisi ni "Taasisi"
serikali iliyopo madarakani ni serikali ya ccm! Magufuli hapigii debe ccm kupewa ridhaa ya kuunda serikali kwa wananchi, Bali anapigia debe kupewa ridhaa ya kuunda serikali ya Magufuli!
Kwenye Mikutano Magufuli anasema mafisadi ndio waliotufikisha hapa! Lakini serikali iliyoko madarakani ya ccm ndio iliyotufikisha hapa. Kwa hiyo kwa mujibu wa magufuli haikwepeki kumwona akiwatuhumu ccm kwa ufisadi ndio maana mabango yake hayana neno ccm!
Hata wagombea wengi wa ubungr wanaweka nembo ya ccm kwa maandishi madogo yasiyosomeka kwa mbali! Kwa hiyo hata wagombea wengine wanainyanyapaa ccm!
Labda tusubiri katibu mwenezi wa ccm atalitolea ufafanuzi.