kuna tatizo gani na airtel?

kuna tatizo gani na airtel?

nkosikazi

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2010
Posts
361
Reaction score
337
Mtandao wa airtel umekuwa na matatizo makubwa sana silu hizi kwani haupatikani na uko very unreliable na hawatoi maelezo yoyote. Hii kweli ni saea?
 
mbona mimi sijahisi hilo mkuu na ninatumia mtandao huo, au simu yako kimeo?
 
njoo mjini ndgu nasikia huko kwenu KAKONKO mtandao unasumbua
 
Check na simu yako mtandao upo pow kabisa au ndo mambo ya NOKLA Ma nyinginezo nyingi kutokea huko...
 
Panda juu ya mti au nenda chini ya mnara!
 
Hujasema uko wapi,kama unaishi msituni basi ni kweli kwasababu hakuna network yoyote inayokamata
 
Back
Top Bottom