Riz king JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 274 Reaction score 549 Jul 19, 2021 #1 Hiki chuo naona kwa nyakati tofauti kimekuwa na tabia ya kuzuiwa udahili ba TCU. Naona msimu huu pia hamna kitu ila mwaka jana walidahili. Tatizo kubwa ni nini pale SFUCHAS. Mbona product zao ziko vizuri tu huku makazini
Hiki chuo naona kwa nyakati tofauti kimekuwa na tabia ya kuzuiwa udahili ba TCU. Naona msimu huu pia hamna kitu ila mwaka jana walidahili. Tatizo kubwa ni nini pale SFUCHAS. Mbona product zao ziko vizuri tu huku makazini
Dr Maja Member Joined Aug 23, 2020 Posts 67 Reaction score 72 Jul 19, 2021 #2 Ukiona kimezuiliwa kudahili, basi tambua kwamba hakijakidhi vigezo. Na pia sidhani kama unazijua product zote za hapo mpaka utoe hiyo conclusion kwamba ni product nzuri
Ukiona kimezuiliwa kudahili, basi tambua kwamba hakijakidhi vigezo. Na pia sidhani kama unazijua product zote za hapo mpaka utoe hiyo conclusion kwamba ni product nzuri