Kaokoke church ni sobber nzuri ya punyetto...Hili janga la "Kujichua" limekuwa kubwa na limeathili vijana wengi,kiukweli ukianza "kujichua" wewe ni sawa na mtu aliyeanza madawa ya kulevya,yaan kuacha ni "muujiza",wengine mpaka wanaoa lakini bado wanaendelea,wadada humu wanalalamika kuwa hawaridhishwi na wapenzi wao eti kisa "punyeto".
..ivi jamani hakuna "sober house" ambazo zinatupokea sisi tulioathiliwa na hii kitu?..
Cc Wapigaji wote.
Tatizo kubwa Sana kwa wanaume wengi mpiga nyeto na teja wa unga hawana tofauti..Hili janga la "Kujichua" limekuwa kubwa na limeathili vijana wengi,kiukweli ukianza "kujichua" wewe ni sawa na mtu aliyeanza madawa ya kulevya,yaan kuacha ni "muujiza",wengine mpaka wanaoa lakini bado wanaendelea,wadada humu wanalalamika kuwa hawaridhishwi na wapenzi wao eti kisa "punyeto".
..ivi jamani hakuna "sober house" ambazo zinatupokea sisi tulioathiliwa na hii kitu?..
Cc Wapigaji wote.
Duh c mchezome leo nimejilipua asee daa bado cku nne ningemaliza mwezi
Hata ukijifunga mikono utaifungua tuJIFUNGE MIKONO
acha masihara kaka io kitu ni mbaya sana kwa future yako sku unapata mtoto ameiva unashindwa kazi hamna kitu kibaya kama icho izo stress zisikie kwa mwingineme leo nimejilipua asee daa bado cku nne ningemaliza mwezi
da bro unakosea sanakwa mtu asiyejua hawezi elewa hii kitu, kuna wakati mizuka ikija unahisi pumzi inakata, unaweza chomoka hata church unaenda toilet unakitupa kimoja unarudi kwenye ibada