Kuna sisi tunapenda humu JF 😁😁

Ukishalewa unakuwa msumbufu halafu pombe ikikata unakuja kuomba radhi. Kichwa chako kinaidhalilisha pombe.
 
Alaf kwenye uzi wangu ulikuwa una sapoti kupigwa vizinga na wanawake vichomi?
 
Tunapenda mno , ila tukigeuzwa vituko , sio kila mwanaume anapenda hili life style, kuna wengine tunapenda tutulie na wanawake zetu, ni nyie wanawake mnatugeuza tu kukataa ndoaπŸΊπŸ€”
Kwani movement ya kukataa ndoa bado haijafa?
Watu wanaoa na kuolewa kitaa, mwingine anaoa binti unajua kabisa kama angefuatilia historia yake mtaani asingethubutu hata kuleta posa.
Movement ya kukataa ndoa ni social media based, not real life based.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…