Kuna siri gani kwenye noti ya 500

Hizi notes zinatafutwa today mwaka 2019. Watu wanazinunua sana. Kuna mshikaji alikuw anapita maduka yaliyoanzishwa zamani kidogo na kuzinunua hizi notes. .

Rupee zinauzwa mpaka elfu 50 to 500,000/-. Waganga wanazinunua sana hizi. Ila hata wazungu pia ukicheki East African currency zinanunualow sana huko. .

Biashara nzuri sana japokuw sijawah ifanya ila wanazinunua na soko lipo. .
 
Kadri tunavyosonga mbele,ndivyo kila vitengo vinajiongeza!

Sawa na wale wanaopita mitaani na vispika wakitangaza kusajili line,ambao ndio source ya wale wa tuma kwenye namba hii!

Mkuu umewaonea wanao sajiri laini. Hawana uhusiano na hao wajinga.

Nimefanya kazi ya kusajiri lain 2014 - 2017.

Hao wajinga wana buni buni tu no. yeyoye

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna utapeli. Ila ujue kuna specific coins or notes, sio zote. Kuna kipindi nilienda BOT in 2014 nikiomba tenda ya kukusanya na kuwauzia meaning nizunguke na walinipa listing ila sasa kila nikitaka kukutana ma manager of fiance wakawa wananizungusha secretary na mshikaji mmoja mpuuzi hivi. Jamaa akawa anataka azinunue yeye ila tukizungumza price hataki. Anataka nimletee aziprice mwenyewe nikaona ungese huu. .

Ni biashara halal kabisa hata ebay au online utaona hizi pesa zinanunuliw German East Africa NGC African Coins for sale | eBay

Ila pia kuna jamaa Ana duka moshi anaziuza. Huyu jamaa Ana duka wazungu, waganga na wachaga wananunua sana kwakwe (0677775000). Number zake pia ndo hizi niliwah wasiliana nae katika harakati za kutafuta santuri sana. .

Ila BOT walikuw wananunua sarafu fulani za kipindi cha Nyerere na Mwinyi. Sijui kama mpaka sasa wananunua. Kuna mtu alinambia hii nikawa nataka na mimi niingie kwenye hii biashara mwaka 2014. Haikufanikiwa ila list ya hela walinipa na nikaona usumbufu sikusainishwa crocheted, na wala sikukutana na manager wa finance. Ila ila nilikuw namsubiria sana second floor. .
 
Tapeli we
 
Mkuu nahitaji noti moja ya 500
 
Tapeli we
Kosa vitu vyote usikose akili. Umetapeliwa nini?

JF wasomi wanapungua sana. Kuna watu wanaitwa collectors na wananunua nje huko coins za zamani sana tu. Kama hujui uliza uelimisjwe

Hao wanaonunua coins mtaani wanajua wanazipeleka wapi

Anglia East African coins za mjerumani bei zake Ebay 👇👇
 
Back
Top Bottom