Kuna siri gani katika tatoo hii?

DAVID PALMER

JF-Expert Member
Jan 19, 2020
285
1,447
Habari za mida.

Basi katika mishe za hapa na pale hapa kitaa nikatokea kuzoeana na sista mmoja. Ni mzuri mweupe na ana shape fulan hivi. Anauza duka la vipodozi la mdogo wake ambaye kaolewa.

Siku katika story nkaona kumbe began ana tatoo ya samaki begani. Nikamuuliza kumbe una tattoo? Kwann umejichora? Una raha gani?

Akanambia story ya hiyo tatto.kwamba Baada ya yeye kumaliza chuo diploma ya HR ajira ngumu na home kwao wako yeye na mdogo wake tuu na wanategemewa. So ghafla akajikuta ktk ukahaba. Venue ni tabata barakuda.

Anasema siku moja akapata bwana, alkua na gari prado kali. Walikunywa then wakaelewana watoke wakalale.. dada alijua wanaenda lodge au hotel lkn akaona wameenda mbezi mwisho, then wakashika ile njia ya Goba. Wakafika sehemu wakafunguliwa bonge la geti kwenye jumba moja. Kumbe ilikua nyumba ya huyo jamaa. Hawajakuta mtu zaidi ya mlinzi aliyefungua geti.

Walipoingia chumban dada anasema roho ilianza kumdunda. Kulkua na vitu vya thaman lkn ule ukimya wa mle ulimpa wasiwasi. Mezan akaona kuna vitabu viwili vikubwa. Ni km bible ila sio. Na kuna visu vya kung'aa viwili na vitu vingine kama forks.

Yule jamaa alifungua kabati la nguo. Akatoa vifaa vya tattoo. Mle kabatini hakukua na nguo yoyote zaidi ya majagi ya chuma.

Jamaa akamwambia. Kwa usalama wako, kuwa mpole. Nifanye nnachotaka kufanya.. dada kwa woga akatulia.

Jamaa akamchora tattoo ya IV na samaki begani . Huku akinuiza maneno fulani. Then akasema ili tattoo yangu ikamilike tunafanya sex bila condom.

Then baada ya hapo alitoka.. alishukuru kutoka. Lkn baada ya hapo tuu thaman yake sokon iliongezeka.. na yeye akaona ghafla ile hamu ya kufanya ukahaba inazidi kuanzia siku ile . Akaanza kufanya mpaka mchana. Bila uoga wala aibu. wanaume walkua wanampapakatia. Na wengi walikua wanaipenda ile tattoo yake.. Alkua anapata pesa nyingi lkn hafanyi la maana.

Sasa me huwa najiuliza kuna siri gani katika ile tattoo?? Why tattoo?? Ilifika wakati akiwa anaota ndoto basi anaowaota ndoto wengi wana zile tattoo..

Ntaeleza uzi mwingine kuelezea aliachaje ukahaba?? Ingawa kwa nnavomuona binafsi sijaamini kama kaacha.. nahisi kapumzika kwa muda.


Nmeandika uzi huu na najua na yeye yumo humu... karidhia niandike. Na najua atasoma hapa. So naomba aelewe binafsi siamini kama kaacha. Kama anavoamini.
 
Unaaminije maneno yakuambiwa mkuu Bila ushahidi wamazingira au kuangalia mfuatano wa matukio?

Ungekua we ndie ulimchora hiyo tatu ningekuelewa kwambali,
 
Daah...! Duniani kuna mambo. Hapo ina maana ukimgegeda tu hata pesa yako uliegegeda,zinaenda kwa huyo njemba. Chuma ulete
 
Mwanzoni umeeleza kuwa kachora Samaki ila mwishoni ukaeleza kuwa alichorwa IV, tuelewe lipi?
 
Utamu wa ngoma ingia kati uicheze. Chora na ww hiyo tatoo kama sehemu ya kufanya utafiti mkuu
 
Back
Top Bottom