Rudi kwenye mada watu wanaovaa hizi miwani wengi wamestaharabiaka je ni kweli?Tunavaa kwasababu ya matatizo ya macho bana, kama si matatizo ya macho siipendi miwani, inaniboa.
Kwani jiwe huwa linavaa?Kwa hiyo jiwe akili nyingi kichwani?
Acha masihara braza.
Ndio maana nikasema asilimia kubwa mean kwenye 90% hiviHujamuona jiwe akivaa?
Mwenyewe anapenda kuipandisha pandisha akiwa anamwaga maneno yake
Ustaarabu au kwenye kuvaa miwani, ni ugonjwa wa macho ndio unawavalisha miwani.Tunavaa kwasababu ya matatizo ya macho bana, kama si matatizo ya macho siipendi miwani, inaniboa.
Ndio nyie mnaozivaaUstaarabu au kwenye kuvaa miwani, ni ugonjwa wa macho ndio unawavalisha miwani.
AhaaMaybe
1. Just a coincidence
2. Lazima wawe wapole kwa sababu wanaogopa ukianza ugomvi na wakapigwa ngumi ya macho, miwani itapasuka jichoni.
3. Wagonjwa almost always, somehow wana inferiority complex, so do they.
4. Lazima wawe wapole na makini kwa sababu most of the time wanahitaji concentration katika kuangalia vitu before making decision.
Neno langu sio sheria.....!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
wavaa miwani wenzangu hapa tunaishia tu kutabasamu halafu tunapita kimya, maana tunajijua hatuna utofauti na wengine. Kuumwa macho hakuathiri tabia ya mtu, zaidi ya kuwa hauwezi kuwa mtu ya hyper hyper sana fujo fujo mbele za watu hii nikajua ni kwangu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
MkuuRekebisha MADA YAKO MKUU ...USTAARABU NA UPOLE..ni vitu 2 tofauti,,..wengi wao ni WAPOLE NA SIO WASTAARABU...mfano MTU ANACHAMBIA TOILET PAPER ,,au ,KUOGA Anatumia KITAMBAA kwenye BAKULI ,,utamuitaje MSTAARABU?kwanza huwezi kumkuta msukuma toroli amevaa miwani ya macho,,,Mara nyingi huwa ni watu ambao WASOMI,,au WATULIVU SN...na sio WASTAARABU...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hulka zao huwa ni wastaharabuwangekuwa wanavaa toka walipo zaliwa tungewaza kujua uhalisia wa hulka zao,kwa vile wanavaa ukubwani baada ya kupata matatizo ni ngumu kujua hulka zao