LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,097
- 10,998
Miwani nayozungumzia mimi sio zile anazovaa Diamond jukwaani, Bali ni zile za macho ambazo watu wengi huvaa kwa matatizo ya macho
Katika research yangu niliyoifanya kwa miaka mingi nimegundua asilimia kubwa ya watu wanaovaa hizi miwani wamestaharabika sana
Huwezi ukamkuta mtu kavaa hizi miwani alafu akawa hajielewi yani wengu huwa ni wakimya alafu akili nyingi kichwani na wengi huwa ni wasomi
Kuna siri gani kati ya wavaaji wa miwani za macho na tabia ya ustaharabu na kili nyingi?
Sent using Jamii Forums mobile app