Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 5,557
- 8,194
Mzee Kikwete kawa mstari wa mbele katika kuhakikisha taifa la Tanzania linakuwa tulivu kwa kushauri uongozi uliopo madarakani kama mstaafu wa taifa hili.
Wengi wanabeza ushiriki wake katika Serikali iliyopo madarakani kama mstaafu lakini hawajui ni muhimu kiasi gani alieyekuwa Raisi wa nchi na mstaafu pekee wa uraisi kuwa baneti katika kushauri uongozi na ikiwezekana kutoa hata matamko kwa ajili ya kuhakikisha taifa linaenda sawa
Hebu tuangalie mfano wa CHADEMA ya Mh Mbowe toka atoke madarakani chama kinapitia magumu ila yeye kawa kimya tu matokeo yake ni yapi? Tuje kule Kenya baada ya alieyekuwa mstaafu Mh Kenyata kuwa kimya hadi wananchi wakawa wanamuomba azungumze kitu kuhusu mustakabali wa Taifa la Kenya kwa machafuko yaliyokuwa yanatokea kule
Binafsi nampongeza Mh Kikwete kwa kuamua kushiriki katika ujenzi wa taifa hili hata kama ana mapungufu ila mchango wake ni mkubwa kuliko angeamua kukaa pembeni kama Mbowe.