Kuna siku inaweza kukusaidia

Chizoka

Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
29
Reaction score
21
Habari zenu!

Leo kuna mahali nilikuwa nafanya interview kwenye mahojiano (oral) kuna swali la kwanza kbs ukiingia unaulizwa " je kuna mtu unafahamiana nae/nao ktk hii panel?

Nikajibu then maswali mengine yakaendelea. Baada ya kutoka kuuliza nini maana ya hilo swali nikaambiwa:

"Nia ni kutaka kujua uaminifu wako so kama kuna mtu unafahamiana nae usisite kujibu ndio"

Ni hilo tu kwa waliokuwa hawajui kama mimi.
 
ina hasara pia,its better huyo mtu afunge mdomo na wewe ufunge mdogo,na pia nategemea na uhusiano wenu wewe na huyo mtu
 
Hahaaaa n pale ultimate security lol
 
ina hasara pia,its better huyo mtu afunge mdomo na wewe ufunge mdogo,na pia nategemea na uhusiano wenu wewe na huyo mtu

Tatizo ni muda wa kufikiri na kutoa right answer maana ile ukiingia tu wanakusalimu wao faster then mmoja wao anakugonga hilo swali hata kabla hawajakuruhusu ukae.

Inakuwa nafuu kama ulishajiandaa na hilo swali na huyo mnaefahamiana ukamconsult kabla
 
Sawa mkuu! Asante…
jingine labda

(hili sijaulizwa leo lkn)
mfano umesoma dip na degree tofauti ama unafanya kazi 1 na umeomba nyingine hasa isiyo na uhusiano wa 1 kwa 1 na uliyopo kwa muda huo.

" So why are you changing your career or shifting into another different line of work in reference to current one "?

unaweza jibu:

I like what Iam currently doing BUT i want to change field to enhance my knowledge. As i am ambitious and focused i believe that, with my positive attitude i can give full commitment for my designated profile regardless of where i work.
 

hapo sawa kama unaemfahamu kakuruhusu kumtaja otherwise kumjua mtu sehemu unayotafuta kazi na kukubali kwenye interview tayari kuna uwezekano mkubwa wa kukosa hiyo ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…