Kuna shida kwenye Jeshi letu

Nikikumbuka jinsi nilivyokuwa nalipenda Jeshi naumia sanaa kwa sasa na polisi naona sawa tu
 
Kwa sasa EA kuna jeshi moja tu imara na lenye weledi, nalo ni RDF. Waliobaki huwezi walinganisha hata na M23 ambayo ina oganaizesheni nzuri, mafunzo ya hali ya juu pamoja na zana za kisasa.
Afrika Mashariki majeshi ya kweli yapo Rwanda na Kenya.

Tanzania hakuna kitu kinaitwa Jeshi. Kuna kikundi cha wajinga na machawa wacheza ngoma za ccm wanaovalishwa magwanda ya mabaka mabaka. No wonder saivi wanapokea kichapo balaa huko Kongo kutoka kwa Kagame na M23
 
Mkuu napigana na jeshi la nchi yangu kwa waliyoyafanya...ila JWTZ wakiamua kuingia vita na jeshi la Rwanda tunachukua kale ka nchi ndani ya siku moja tu....
Haiwezekani.
 
Mkuu napigana na jeshi la nchi yangu kwa waliyoyafanya...ila JWTZ wakiamua kuingia vita na jeshi la Rwanda tunachukua kale ka nchi ndani ya siku moja tu....
Sio kirahisi hivyo,ingekuwa hivyo Russia ingekuwa imeshaichukua Ukraine
 
Sio kirahisi hivyo,ingekuwa hivyo Russia ingekuwa imeshaichukua Ukraine

Lakini ni kweli kabisa wala hujakosea mkuuu upo right kabisaa....Maana Russia ni kubwa sana kuliko hata Ukraine...
 
Mabaka niliwavua gwanda walivoruhusu raia wauwawe kama inzi...
Hawana jipya!
 
Wanajeshi 29oct walikuwa wanahamasisha raia kutoka
Na polisi walikuwa wanaua raia na jeshi wanaangalia tu
tena wanajeshi hawakuwa na silaha
Maanake nini?

Walikuja uraiani kufanya nini?
Na kwanini polisi wana shoot raia tu na sio wanajeshi?
Kwa idadi ya waliokufa wao wakiwa active kwenye ground na raia wameshindwa kuwalinda maana yake HATUNA JESHI!
JWTZ NI JESHI LA CCM.
 
Katika nchi ambayo kila sekta imeoza ulitegemea kutakua na miujiza kwamba jeshi tu ndio litakua na weledi?

Tatizo ni vetting. Kwa miongo kadhaa tumeifanya kazi ya jeshi kuwa kimbilio la watu waliofeli shule.
 
Use your common sense to think!!
Your browser is not able to display this video.
 
Use your common sense to think!!
View attachment 3511365
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…