useyourcommonsensetothink
Member
- Nov 5, 2025
- 84
- 154
Mnamaliza karatasi bure. JW ni ya kisiasaPamoja na yanayoendelea nchi, nikili kuwa kwenye jeshi letu kuna shida kubwa sana.
Nimekuwa nikijiuliza sana, je tuna jeshi kweli, tuna polisi wenye weledi, au ni vibwengo tu? Unaambiwa kuua na unatii tu.
Kwa mtazamo wa kimataifa, amri inayokwenda kinyume na sheria haipaswi kutekelezwa. Kwa hiyo, si kosa kukataa amri ya mkuu kama amri hiyo ni haramu au inavunja misingi ya utu. Askari au polisi wana wajibu wa kufikiri, kuchuja, na kulinda raia, si kutekeleza kila kitu.
Swali kubwa linabaki: tatizo linaanzia wapi? Je, ni kwenye mchakato wa uajiri (recruitment) ambapo watu wasio na uwezo wa kufikiri kwa kina wanachukuliwa (Machawa) na kuingizwa kwee jeshi letu? Au ni mfumo wa mafunzo na uongozi unaowafinyanga watu kuwa watendaji bila akili zao?
Kwa hali ilivyo, inaonekana kabisa kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vimejaa vilaza, watu wasiokuwa na maadili ya kazi wala uwezo wa kubeba majukumu makubwa ya kulinda raia. Ndiyo maana swali hili linaumiza kichwa: je, ni kosa kukataa amri ya mkuu inayokwenda kinyume na sheria? .
Tukubali kwamba, nchi inahitaji reformation kubwa sana, karibu katia kila taasisi.
Kuendelea kuwepo kwa Samia madarakani,ndio ucheleweshaji wa mabadiriko hayo, na nchi yetu itaendelea kuteseka sana. Miezi michache inayokuja, Tanzania itakuwa hali ngumu sana. Kumbuka haya maneno.
Watanzania, hii hali sio shwari, achana na wanaojitoa akili zao, huku wakitumia mgongo wa dini, kwamba watu wanamkataa Samia kisa dini yake, ni sababu za kipuuzi, na ni wapumbavu.
Watanzania wote ni ndugu, haijalishi wewe ni Mkristo au muislam, au kabila lolote, tuwapuuze hawa mapumbavu wanaotaka kuwatenga watanzania.
Ndio nimekusoma.. mtori upo chini tendelee kula nyamaMiezi michache inayokuja, Tanzania itakuwa hali ngumu sana. Kumbuka haya maneno.
Hapa nimekuelewa vizuri... ngoja mashekhe wa JF wajeWatanzania, hii hali sio shwari, achana na wanaojitoa akili zao, huku wakitumia mgongo wa dini, kwamba watu wanamkataa Samia kisa dini yake, ni sababu za kipuuzi, na ni wapumbavu.
Watanzania wote ni ndugu, haijalishi wewe ni Mkristo au muislam, au kabila lolote, tuwapuuze hawa mapumbavu wanaotaka kuwatenga watanzania.
Kuna uwezekano mkubwa Jeshi likawa linaendeshwa na makada wa aminifu wa Chama Tawala halipo kwa maslahi ya Taifa bali kwa maslahi ya Chama. Zingatia miaka ya nyuma ili ujiunge na Jeshi sifa kuu ilikua ni kadi ya CCM hata kama haujasoma darasa hata Moja. Sasa hao makada bado wapo Jeshini mpaka leo japo mifumo wa uandikashaji umebadilikaPamoja na yanayoendelea nchi, nikili kuwa kwenye jeshi letu kuna shida kubwa sana.
Nimekuwa nikijiuliza sana, je tuna jeshi kweli, tuna polisi wenye weledi, au ni vibwengo tu? Unaambiwa kuua na unatii tu.
Kwa mtazamo wa kimataifa, amri inayokwenda kinyume na sheria haipaswi kutekelezwa. Kwa hiyo, si kosa kukataa amri ya mkuu kama amri hiyo ni haramu au inavunja misingi ya utu. Askari au polisi wana wajibu wa kufikiri, kuchuja, na kulinda raia, si kutekeleza kila kitu.
Swali kubwa linabaki: tatizo linaanzia wapi? Je, ni kwenye mchakato wa uajiri (recruitment) ambapo watu wasio na uwezo wa kufikiri kwa kina wanachukuliwa (Machawa) na kuingizwa kwee jeshi letu? Au ni mfumo wa mafunzo na uongozi unaowafinyanga watu kuwa watendaji bila akili zao?
Kwa hali ilivyo, inaonekana kabisa kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vimejaa vilaza, watu wasiokuwa na maadili ya kazi wala uwezo wa kubeba majukumu makubwa ya kulinda raia. Ndiyo maana swali hili linaumiza kichwa: je, ni kosa kukataa amri ya mkuu inayokwenda kinyume na sheria? .
Tukubali kwamba, nchi inahitaji reformation kubwa sana, karibu katia kila taasisi.
Kuendelea kuwepo kwa Samia madarakani,ndio ucheleweshaji wa mabadiriko hayo, na nchi yetu itaendelea kuteseka sana. Miezi michache inayokuja, Tanzania itakuwa hali ngumu sana. Kumbuka haya maneno.
Watanzania, hii hali sio shwari, achana na wanaojitoa akili zao, huku wakitumia mgongo wa dini, kwamba watu wanamkataa Samia kisa dini yake, ni sababu za kipuuzi, na ni wapumbavu.
Watanzania wote ni ndugu, haijalishi wewe ni Mkristo au muislam, au kabila lolote, tuwapuuze hawa mapumbavu wanaotaka kuwatenga watanzania.
Kwa sasa EA kuna jeshi moja tu imara na lenye weledi, nalo ni RDF. Waliobaki huwezi walinganisha hata na M23 ambayo ina oganaizesheni nzuri, mafunzo ya hali ya juu pamoja na zana za kisasa.
Mzee hatachukui zaid wao ndo watachukua si juzi tu hapo tumechapwa na wanagambo wao huko congo?Mkuu napigana na jeshi la nchi yangu kwa waliyoyafanya...ila JWTZ wakiamua kuingia vita na jeshi la Rwanda tunachukua kale ka nchi ndani ya siku moja tu....
Majeshi yalikuwepo zamani, Sasa hivi yanatumika kama Vyanzo vya Ajira za watoto na ndugu za wakubwa na viongozi.Pamoja na yanayoendelea nchi, nikili kuwa kwenye jeshi letu kuna shida kubwa sana.
Nimekuwa nikijiuliza sana, je tuna jeshi kweli, tuna polisi wenye weledi, au ni vibwengo tu? Unaambiwa kuua na unatii tu.
Kwa mtazamo wa kimataifa, amri inayokwenda kinyume na sheria haipaswi kutekelezwa. Kwa hiyo, si kosa kukataa amri ya mkuu kama amri hiyo ni haramu au inavunja misingi ya utu. Askari au polisi wana wajibu wa kufikiri, kuchuja, na kulinda raia, si kutekeleza kila kitu.
Swali kubwa linabaki: tatizo linaanzia wapi? Je, ni kwenye mchakato wa uajiri (recruitment) ambapo watu wasio na uwezo wa kufikiri kwa kina wanachukuliwa (Machawa) na kuingizwa kwee jeshi letu? Au ni mfumo wa mafunzo na uongozi unaowafinyanga watu kuwa watendaji bila akili zao?
Kwa hali ilivyo, inaonekana kabisa kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vimejaa vilaza, watu wasiokuwa na maadili ya kazi wala uwezo wa kubeba majukumu makubwa ya kulinda raia. Ndiyo maana swali hili linaumiza kichwa: je, ni kosa kukataa amri ya mkuu inayokwenda kinyume na sheria? .
Tukubali kwamba, nchi inahitaji reformation kubwa sana, karibu katia kila taasisi.
Kuendelea kuwepo kwa Samia madarakani,ndio ucheleweshaji wa mabadiriko hayo, na nchi yetu itaendelea kuteseka sana. Miezi michache inayokuja, Tanzania itakuwa hali ngumu sana. Kumbuka haya maneno.
Watanzania, hii hali sio shwari, achana na wanaojitoa akili zao, huku wakitumia mgongo wa dini, kwamba watu wanamkataa Samia kisa dini yake, ni sababu za kipuuzi, na ni wapumbavu.
Watanzania wote ni ndugu, haijalishi wewe ni Mkristo au muislam, au kabila lolote, tuwapuuze hawa mapumbavu wanaotaka kuwatenga watanzania.
Mkuu napigana na jeshi la nchi yangu kwa waliyoyafanya...ila JWTZ wakiamua kuingia vita na jeshi la Rwanda tunachukua kale ka nchi ndani ya siku moja tu....
Unaongelea Rwanda Gani hivi kumbe tanzania bado Kuna wajinga kama wewe unaamini jwtz inaweza kupambana na wajukuu wa tall yaani jeshi ambalo linaruhusu raia wake kuuwawa kama kuku limpige rwanda ambayo Kila siku ipo msituni kupambana huku wanamgambo wake tu walioko congo wamewafurumusha juzi hao jwtz na kuyaua kama kuku huko goma na kuyapora siraha aisee mzee embu acha vituko usiwaongelee Rwanda hii ya tall kama unaongelea panya roadMkuu napigana na jeshi la nchi yangu kwa waliyoyafanya...ila JWTZ wakiamua kuingia vita na jeshi la Rwanda tunachukua kale ka nchi ndani ya siku moja tu....
Kwenye hili wewe sema tu, ila mama haondoki kwasababu mtu hataki awepo. Samia yupo, nawe kafanye kazi ya kukupatia maisha, vinginevyo utajikuta una njaa na umaskini wa kutisha.Kuendelea kuwepo kwa Samia madarakani,ndio ucheleweshaji wa mabadiriko hayo, na nchi yetu itaendelea kuteseka sana.
Haya maandishi yanaonesha wewe ndo kilaza usiyejua nini vyombo vya ulinzi vinafanya. Ulitarajia wakuache uibe, uharibu mali za umma na za watu binafsi na uwaue wao wana wa ulinzi halafu wakuchekee? Waswahili huwa tunasena "ukicha mwana kulia, mwisho utalia wewe. Mkuu lia na uume meno baadae ukajifunze.Kwa hali ilivyo, inaonekana kabisa kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vimejaa vilaza, watu wasiokuwa na maadili ya kazi wala uwezo wa kubeba majukumu makubwa ya kulinda raia.
Huko jeshini wamejaa Wachumba.Mkuu napigana na jeshi la nchi yangu kwa waliyoyafanya...ila JWTZ wakiamua kuingia vita na jeshi la Rwanda tunachukua kale ka nchi ndani ya siku moja tu....
Hakuna JESHI hapo.Pamoja na yanayoendelea nchi, nikili kuwa kwenye jeshi letu kuna shida kubwa sana.
Nimekuwa nikijiuliza sana, je tuna jeshi kweli, tuna polisi wenye weledi, au ni vibwengo tu? Unaambiwa kuua na unatii tu.
Kwa mtazamo wa kimataifa, amri inayokwenda kinyume na sheria haipaswi kutekelezwa. Kwa hiyo, si kosa kukataa amri ya mkuu kama amri hiyo ni haramu au inavunja misingi ya utu. Askari au polisi wana wajibu wa kufikiri, kuchuja, na kulinda raia, si kutekeleza kila kitu.
Swali kubwa linabaki: tatizo linaanzia wapi? Je, ni kwenye mchakato wa uajiri (recruitment) ambapo watu wasio na uwezo wa kufikiri kwa kina wanachukuliwa (Machawa) na kuingizwa kwee jeshi letu? Au ni mfumo wa mafunzo na uongozi unaowafinyanga watu kuwa watendaji bila akili zao?
Kwa hali ilivyo, inaonekana kabisa kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vimejaa vilaza, watu wasiokuwa na maadili ya kazi wala uwezo wa kubeba majukumu makubwa ya kulinda raia. Ndiyo maana swali hili linaumiza kichwa: je, ni kosa kukataa amri ya mkuu inayokwenda kinyume na sheria? .
Tukubali kwamba, nchi inahitaji reformation kubwa sana, karibu katia kila taasisi.
Kuendelea kuwepo kwa Samia madarakani,ndio ucheleweshaji wa mabadiriko hayo, na nchi yetu itaendelea kuteseka sana. Miezi michache inayokuja, Tanzania itakuwa hali ngumu sana. Kumbuka haya maneno.
Watanzania, hii hali sio shwari, achana na wanaojitoa akili zao, huku wakitumia mgongo wa dini, kwamba watu wanamkataa Samia kisa dini yake, ni sababu za kipuuzi, na ni wapumbavu.
Watanzania wote ni ndugu, haijalishi wewe ni Mkristo au muislam, au kabila lolote, tuwapuuze hawa mapumbavu wanaotaka kuwatenga watanzania.
Sahihi,Hakuna JESHI hapo.
Hizo ni MILITIAs
Kwakweli wangekuwa wanaume tungeshamaliza hili sualaHuko jeshi wamejaa Wachumba.
Tatizo unafananisha la Zamani wale waliomgusa Iddi Amini, la Sasa ni la Kichumba vibaya mno wanachoweza ni kuvimbia Raia mtaani.