Kuna sheria inayonilinda dhidi ya meseji za matangazo ya simu?

Jul 31, 2014
20
9
Wadau na wataalamu wa mambo ya sheria naombeni kujua kama kuna sheria inayonilinda mimi kama mteja wa masiliano ya simu za mkononi juu ya matangazo yanayotolewa na kampuni za simu kuja kwa wateja bila ridhaa yangu na hivyo kusababisha usumbufu huku wao wakiingiza mamilioni ya fedha.

Naomba kuwasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…