Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,574 Reaction score 3,000 May 22, 2025 #1 Habari wakuu kuna Shabiki wa mpira wa timu ya WANITESA UNITED hata salamu hapokei haoneshi ushirikiano kazini kwani kunanini kinaendelea huko MNIJUZE
Habari wakuu kuna Shabiki wa mpira wa timu ya WANITESA UNITED hata salamu hapokei haoneshi ushirikiano kazini kwani kunanini kinaendelea huko MNIJUZE
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,417 Reaction score 82,371 May 22, 2025 #2 Na wangechukua hilo kombe Arsenal tungekoma, dah!
MUBENDE JF-Expert Member Joined Nov 11, 2022 Posts 1,702 Reaction score 2,930 May 22, 2025 #3 Nifah said: Na wangechukua hilo kombe Arsenal tungekoma, dah! Click to expand... Tupo wengi ofisini leo wamenuna balaa
Nifah said: Na wangechukua hilo kombe Arsenal tungekoma, dah! Click to expand... Tupo wengi ofisini leo wamenuna balaa
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,417 Reaction score 82,371 May 22, 2025 #4 MUBENDE said: Tupo wengi ofisini leo wamenuna balaa Click to expand... Walitaka wachukue waanze kutusema pamoja na kuwa na msimu mzuri lakini hatuna kikombe chochote, vivyo hivyo kwa City pia. Safari hii Mungu ametupumzisha Arsenal na masimango kutoka jiji la Manchester.
MUBENDE said: Tupo wengi ofisini leo wamenuna balaa Click to expand... Walitaka wachukue waanze kutusema pamoja na kuwa na msimu mzuri lakini hatuna kikombe chochote, vivyo hivyo kwa City pia. Safari hii Mungu ametupumzisha Arsenal na masimango kutoka jiji la Manchester.
Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,574 Reaction score 3,000 May 22, 2025 Thread starter #5 Watu wamenuna. Kama tuna Ugomvi team za waingereza zikikosa Kombe s watu huku Nalinjilinji wananuna mpaka kupasuka
Watu wamenuna. Kama tuna Ugomvi team za waingereza zikikosa Kombe s watu huku Nalinjilinji wananuna mpaka kupasuka
ivanmark714 Senior Member Joined Jul 13, 2019 Posts 107 Reaction score 188 May 22, 2025 #6 yani hatari kama wameonewa vile😁 #ynwa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,931 Sep 5, 2025 #7 Yamegengwa yajayo... Cc: Mahondaw