Cherry kutoka china wametangaza SUV yao iitwayo Tiggo 7 ambayo itaingia sokoni kuanzia mwakani 2025.
View attachment 3097795
Kinachovutia zaidi sio SUV, bali ni jinsi ilivyofanana na Range Rover Evoque.
View attachment 3097796
Inakuja na option ya petrol au plugin hybrid.
View attachment 3097797
Version ya petrol itakuja na The turbocharged 1.6-litre four-cylinder engine, either FWD au AWD automatic transmissions.
View attachment 3097798
Na version ya Plug-in hybrid (PHEV) itakua na turbocharged 1.5-litre four-cylinder petrol engine.
Kama mzee wa kufake, unanunua hii hafu unaweka badge ya Range Rover.