Kuna raia wameichoka nchi

mankachara

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
6,161
Reaction score
3,496
Muangalie huyu na ujumbe wake
 

Attachments

  • PhotoChooser-47662b7c-114e-49e9-8a16-08244ded646e.jpg
    21.6 KB · Views: 2,679
Huyo ni mjinga hajui kuwa rangi ni sehemu ya ujenzi? au anafikiri ujenzi ni kupanga tofali tu?
 
Mambo mengine yana bore sana mtu kuniamsha asubuhi!

 
Nina hakika mpaka akiamka atakuta ndio tunamalizia kuchima msingi.........
 
Aise mankachara we hamka tu kwani ujenzi wa taifa bado hata pesa za uwanja hazipo
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
huyo jamaa mjinga sana, si aende tu akajenge, anaweza kuambulia kwa kuiba hata tofari.

Kama kiwanja hakijauzwa mara mbili, si unajua Lowasa ndo ana hati "!
 
kweli hali ngumu,watyoto wa kiume na klulalamika asubuhi asubuhi.......
huyo ni mvivu
 
Nina hakika mpaka akiamka atakuta ndio tunamalizia kuchima msingi.........

Aise mankachara we hamka tu kwani ujenzi wa taifa bado hata pesa za uwanja hazipo

huyo jamaa mjinga sana, si aende tu akajenge, anaweza kuambulia kwa kuiba hata tofari.

Mkuu huo ujumbe ni wa kifalsafa zaidi, usikurupuke

Mimi ni muuza tofali siamki had mnipgie simu

Elaborate...

Fuatilia hizo sehemu nilizo bold, ndio utajua ujumbe humo ni wakifalsafa ! Unatakiwa uwe mwerevu kuelewa ! :becky: DuppyConqueror
 
Last edited by a moderator:
Na akisha amka.mwambieni naye akimaliza kupaka rangi aje anishtue nikapande maua na kuseti bustani.
 
ukisha seti bustani na kupanda maua unipigie nije kuhamia
 
Rangi tutamalizia wenyewe, ukija kutupakia rangi ya magamba je hiyo nyumba itakuwa na thamani kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…