Kuna rafiki yangu kaoa.

Unachakachua sredi.
sasa CUTE inahusiana vipi na mada ya sredi?


Mie namshangaaaaa. wenzie twazungumzia mama mkwee analeta za Cute hapa.

Mama Kloro nae tumuunganishie web cam tumpigie baba Kloro kule

Microsoft akomyuniketi na mkewe? tusimwache mama lonle.
 
MAMA MKWE AKAE SEHEMU YAKE LABDA KAMA KWELI HANA SEHEMU AKIJA INAKUA POA NA ASIWE NA GUBU TU MANA HAPO NDIO UBAYA HUANZA
ila mm sioni tabu akija kukaa na mm mradi tusiingiliane tu .............atulie ale bataaaaaa tu sio maneno kila kukicha.
mana kuna mmoja alileta uzi mama mkwe anacheck hadi makabati na wallet sasa hapo inbakua sio tena
 
gfsonwin Sinimeisha kueleza jamaa ana dada zake wameolewa, kama mama yake anamatatizo nadhani wanamfata mama yao kwa kaka yao....Sijui kwa kweli itabidi nikimuona nimulize kama wanakuja kwake siku mama yake yuko katika hali hio.
 
Point taken tamfikishia :A S shade:
 
wanawake wa siku hzi hawana nidham,,,,,piga chin ,,nilipokuoa ulijua nimeanguka juu ya mti,,,,nimezaliwa at,,,unataka nipate laana,,utalazimika kuwaheshim wazazi wangu,,si ombi hutaki kwende,,kabla jogoo hajawika,,,umchezeee mama yangu eti naleta mjadala////mama yangu sio wifi yako,,,,,,,utaondoka,,,,,:spy:
 
somtime tusiwe tunawaendekeza wanawake. Mbona ye ndugu zake anawasaidia hata kwa kuiba? Mi wa kwangu nilishamwambia you can not be superior to my mother! Dada zangu naweza nikakusamehe.

Nyalotsi mi nakubaliana na wewe ahandredi pasenti. mke atabaki kuwa mke, hawezi kuwa mama hata mbingu na nchi zikutane, tatizo ni huu uzungu ambao tunauiga bila kuchanganya na za kwetu, maana ukisema hivyo watakwambia mfumo dume, lakini ndiyo reality.
mke wangu nishamwambia kuwa linapokuja suala la wazazi hatuta compromise, lazima yeye ashuke kwa wazazi wangu au mimi nishuke kwa wazazi wake, zaidi ya hapo hakuna ndoa.
eti fikiria, mama amesota na mimi tangu tumboni mpaka nikafika 30yrs, nikakutana na wewe kitaa nikakuoa, kesho unaniambia mtimue mama yako siwezi kukaa naye, Haaaaaaa!!! over my dead body!! hapo kifupi ni utakuwa hutaki kukaa na mimi. wangekuwa ndugu wengine, tunaweza kujadili tuone muafaka, lakini not to my parents
 
we mkali jamani
 
hapo nakubaliana na ww mia ya mia uko correct
 
Kaaah! na mimi leo naenda kuongea na mama Kloro, viziwa vyangu vidogo,

nitavaa zake na kuweka visponji kwa ndani. kudumisha upendo.

sikubali waifu wa jirani afunike. itakua chezeya Ero!?

hahahahaaaaaa.... nimekukubali, mwe sijui nimekuchelewea wapi weye bnti maana adimu sana kama wewe.. hongera kloro umeibua kitu cha aina yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…