kwani unafikiri nikiwa mtaani nitajitambulisha kuwa mimi ni mtz hapa UK..subutu, bora tu niseme mimi ni mnyarwanda/mrundi au mganda...mbona aibu hii tutaficha wapi nyuso zetu na selikali bado inawalinda hawa waganga wa kienyeji, wachawi washirikina na wasoma nyota?