Wadau nimeingia dar kwa Mara ya kwanza tangu July Mwaka huu, nimezoea kuona madege makubwa yakipaa angani na kutua, tangu saa kumi hadi sasa ivi nimeshuhudia ndege moja tu angani, kuna mabadiliko gani? Kwa anayejua anijuze, ingependeza mwenye data vzr akatufafanulia. Kwangu mm haya ni maajabu kwa zaidi ya miaka 20 nilipoijua dar
Naulizia frequency ya kupaa na kutua. Nimekaa tangu saa kumi hadi sasa ivi nimeona ndege mbili tu angani. Siyo kawaidaNdege gani wataka mkuu? KLM, KQ, Turkish, ,Emirate, Ethiopia zote hizo zipo. Unataka ndege gani? Hujaona hata dream line yetu?
Ni ndege gani hiyo?Moja wapo hio inaondoka sahivi.
Zimesharuka zoteNaulizia frequency ya kupaa na kutua. Nimekaa tangu saa kumi hadi sasa ivi nimeona ndege mbili tu angani. Siyo kawaida
Acha kutumiwa na mabeberu