Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,165
Jamani tuache ubishi, Lowassa ni heavy weight wakati Magufuli ni feather weight. Huyu jamaa wamemnyanyasa kumpambanisha na Lowassa hii inajionesha kabisa kuwa nani anampiku mwenzake kwa umaarufu. Hii ni ishara mbaya kwa Gufuli, wavivu wa kufikri wanaweza kusema wanaotembelea JF ni wasomi wakati wapiga kura ni malofa, sasa najiuliza ina maana ccm yenyewe haina wasomi wanaoweza kutembelea kwa wingi kwenye thread ya ndugu yao?
Tukri kwa uwazi kabisa Lowassa ni namba ingine kabisa huwezi ipambanisha na Magufuli!!
Waliochangia na kutembelea thread ya Lowassa:
Waliochangia na kutembelea thread ya Magufuli:
Tukri kwa uwazi kabisa Lowassa ni namba ingine kabisa huwezi ipambanisha na Magufuli!!
Waliochangia na kutembelea thread ya Lowassa:
- Replies: 545
- Views: 13,953
Waliochangia na kutembelea thread ya Magufuli:
- Replies: 157
- Views: 2,388