Kuna nini Kwenye Thread za Magufuli na Lowassa

Nimemsikiliza kupitia Tv tokea aanze kuongea karibia lisaa limoja limepita anazungumzia habari ya barabara! Tunajiuliza Magufuli anaomba kazi ya waziri wa ujenzi? Barabara ni muhimu mno lakini inaweza kuwa kipaumbele cha kwanza mpaka unatumia zaid ya lisaa kuongelea?

Tufikirie upya Magufuli sio Presidential material hafai kabisa
Halafu leo nimechekaaaa!

Eti nitaibadilisha Mwanza iwe Geneva ya Afrika, huku anazungumzia kuufanya mji wa Mwanza kuwa wa kibiashara, sasa nikawaza hivi umaarufu wa Geneva ni kwenye biashara au kuna jambo jingine kubwa zaidi ya hilo? Nikahitimisha kwa kusema huyu jamaa hana uelewa wowote kuhusu mataifa mengine, hivyo uhusiano wa kimataifa kwa huyu mheshimiwa ni "0" kabisa!!

Halafu jamaa karudia kuwadanganya tena watu wa kanda ya ziwa, eti nitaweka meli, tena mbili kabisa ili zitoe huduma kwa watu wa kanda ya ziwa! Kama mwenzake alishindwa kwa miaka 10 yeye ataweza wapi? Hiyo pumzi ataitoa wapi? Akaahidi tena, tutajenga daraja la kuunganisha Kigongo na Busisi. Magufuli hiyo pumzi umeitoa wapi?

Magufuli hatufai wadau, tumchague Lowassa kwa maendeleo ya taifa letu!
 
Magufuli ndio Mwanza kwa Lowassa watu wanafuata Mshiko tu
 
Back
Top Bottom