Moyo unaona mbali kuliko macho,usikilize
vijana wa sikuhizi bana wakikutana wanawaza kugegedana tu....sasa kwa mwendo huo si utagegeda wengi ulosoma nao?? funga zipu kijana.....uk hauna dawa!!!
mi mwenyewe wangu mmoja nilisomaga naye miaka ya 80! kaniomba nika-mshave kwake!
au avae suruali ya kizibaovijana wa sikuhizi bana wakikutana wanawaza kugegedana tu....sasa kwa mwendo huo si utagegeda wengi ulosoma nao?? Funga zipu kijana.....uk hauna dawa!!!
huyu lazma ni mume wa mtu.ndo maana anawasiwasi kweli.tupe ur curent status ya mapenzi kwanza , usikute tunashauri mume wa mtu mwenye watoto sita hapa
Kwa hiyo nimpotezee?
Kuna siku nilikaa naye hadi usiku wa manane pale Villa; lakini kila nilipowaza kumbanjua nilishtuka, nilichokifanya ni kumsindikiza hadi kwake nami nikageuza hadi kwangu; leo kanipipia sim ananiuliza ni kitu gani ambacho hana yeye kama mwanamke? Ananilaumu eti ni kwa nini nashindwa kujua kuwa ananipenda.....
vijana wa sikuhizi bana wakikutana wanawaza kugegedana tu....sasa kwa mwendo huo si utagegeda wengi ulosoma nao?? funga zipu kijana.....uk hauna dawa!!!