M Mwamba 777 JF-Expert Member Joined Nov 23, 2020 Posts 2,783 Reaction score 4,494 Jan 5, 2023 #61 uwe hodari said: Unamwamini huyo mjinga Click to expand... Kigogo ni mmoja wao hukohuko serikalini, Tena ni waziri ambaye Yuko karibu na Rais wa Sasa, unaachaje kumuamini? Yawezekana hata Rais mwenyewe hajui kama jamaa ndo likigogo la tweeter
uwe hodari said: Unamwamini huyo mjinga Click to expand... Kigogo ni mmoja wao hukohuko serikalini, Tena ni waziri ambaye Yuko karibu na Rais wa Sasa, unaachaje kumuamini? Yawezekana hata Rais mwenyewe hajui kama jamaa ndo likigogo la tweeter
prumpeti JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 1,023 Reaction score 2,319 Jan 5, 2023 #62 inamankusweke said: Mzee wako ni mjinga aliyezeeka Click to expand... ππππππacha bhana
inamankusweke said: Mzee wako ni mjinga aliyezeeka Click to expand... ππππππacha bhana
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,484 Reaction score 34,222 Jan 6, 2023 #63 CARDLESS said: Yeye sio wa Kwanza, Magufuli alitengua wawili, Na hakuna tatizo, kazi hizo zina miiko yake. Click to expand... Watu wajinga sana kila akitenguliwa mtu flani mkubwa basi zitakuja tetesi za kila aina, utafikiri ni kitu cha ajabu sana kutengua
CARDLESS said: Yeye sio wa Kwanza, Magufuli alitengua wawili, Na hakuna tatizo, kazi hizo zina miiko yake. Click to expand... Watu wajinga sana kila akitenguliwa mtu flani mkubwa basi zitakuja tetesi za kila aina, utafikiri ni kitu cha ajabu sana kutengua
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,484 Reaction score 34,222 Jan 6, 2023 #64 Kuna watu ni wajinga mno. Sijui kwa nn