Kuna nini katika kinyesi cha binadamu??

Kuna nini katika kinyesi cha binadamu??

kweeani

Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
79
Reaction score
149
Habari wadau,
Kama kichwa kinavohoji, nimekuwa nikijiuliza kinyesi cha mwanadamu kina nini? Mazingira ya vijijini ambapo watu hujisaidia maporini ni kawaida kukuta mbwa au nguruwe wakisaka vinyesi vya binadamu. Binafsi nimeshuhudia Mara nyingi kwa wanyama tajwa yaani kitimoto na mbwa wakifurahia kinyesi. Wataalam wa mifugo Wanasema nguruwe akila kinyesi cha binadamu ni rahisi kupata minyoo aina ya Taenia solium. "Cyst" au mayai ya minyoo hiyo husafiri kwenye mfumo na kutengeneza vipele vyeupe kwenye nyama. Nguruwe ni carrier wa vijidudu hivyo kwa sababu kiafya havimdhuru ila hiyo nyama ni hatari kwa binadamu. Madhara mojawapo ni ugonjwa hatari wa kifafa ambapo katika stage za juu hautibiki.

Baada ya ufafanuzi huo naomba wataalamu waniambie kwa nini hawa wanyama tajwa hula kinyesi cha binadamu na c ya wanyama wengine? Huwezi kumkuta mbwa au nguruwe akila kinyesi cha ng'ombe, mbuzi, mbwa na wanyama wengineo. Kuna madini lishe gani katika kinyesi cha binadamu?

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasome sayansi ya darasa la sita juu ya mfumo wa utoaji takamwili. Kinyesi siyo takamwili bali ni mabaki ya chakula ambacho hakikumeng'enywa vyema hivyo bado kina virutubisho vinavyowafaa wanyama wengineo!
Kama ndo hivyo mkuu kwa nini, wasile ya wanyama wengine? Ina maana binadamu ndo ana mfumo dhaifu wa kutofyonza virutubisho vyote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zilianza mada za kujadili eneo la kutolea maviii sasa hivi yanajadiliwa maviiii yenyewe
 
Habari wadau,
Kama kichwa kinavohoji, nimekuwa nikijiuliza kinyesi cha mwanadamu kina nini? Mazingira ya vijijini ambapo watu hujisaidia maporini ni kawaida kukuta mbwa au nguruwe wakisaka vinyesi vya binadamu. Binafsi nimeshuhudia Mara nyingi kwa wanyama tajwa yaani kitimoto na mbwa wakifurahia kinyesi. Wataalam wa mifugo Wanasema nguruwe akila kinyesi cha binadamu ni rahisi kupata minyoo aina ya Taenia solium. "Cyst" au mayai ya minyoo hiyo husafiri kwenye mfumo na kutengeneza vipele vyeupe kwenye nyama. Nguruwe ni carrier wa vijidudu hivyo kwa sababu kiafya havimdhuru ila hiyo nyama ni hatari kwa binadamu. Madhara mojawapo ni ugonjwa hatari wa kifafa ambapo katika stage za juu hautibiki.

Baada ya ufafanuzi huo naomba wataalamu waniambie kwa nini hawa wanyama tajwa hula kinyesi cha binadamu na c ya wanyama wengine? Huwezi kumkuta mbwa au nguruwe akila kinyesi cha ng'ombe, mbuzi, mbwa na wanyama wengineo. Kuna madini lishe gani katika kinyesi cha binadamu?

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kupotosha umma kama umeshindwa cha kutolea mfano bora unyamaze tuu eti nguruwe na mbwa kula kinyesi cha binadam? Au labda huko maeneo ya kwenu wanakula kuna njaa labda ..
Ukienda vijijini huko ninakotokea ukiona mazingira nguruwe anaishi utatamani uishi wewe..
Hiyo ishu ya kifafa mi sijui ila tangu nazaliwa napata akili na mpaka sasa tunakula na sijawahi kuona wala kusikia mtu kapata madhara akambiwa ni nguruwe hivyo heshimu mboga za wenzako.
 
Mkuu huko kwenu ni wapi Tanzania hii au! Naomba nikahamie huko aise. Huku niliko na mikoa niliyowahi kutembelea zaidi ya kumi nimeshuhudia hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kile ni undigested food, ata wewe unaweza kula ili u-maximize absorption of nutrients. ni kwamba chakula kinapokua kinapita kwenye utumbo sio vitu vyote vinavyofyonzwa, vilivyobaki ndo hufanya kinyesi.
 
Back
Top Bottom