Ben hapendi ujinga ujinga.
Mkapa è temendo di essere legati a Kikwete failures.He è senza dubbio il miglior presidente di questo paese abbia mai avuto.Ndugu wanajamii hope mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku ya ujenzi wa taifa letu, kuna swala limekuwa likinitatiza sana kuhusu viongozi wetu hawa wa kitaifa yaani raisi Kikwete na raisi mstaafu Mkapa imekuwa ni nadra sana kumuona mkapa anauzulia sherehe za kiserikali au hafla zingine tu ambazo Jk amekuwa mgeni rasmi, mfano juzi wakati wa ufunguzi wa bunge maalumu la katiba niliona viongozi karibu wote ila Mkapa hakutokea, tatizo ni nini wadau? mwenye ufahamu juu ya hili atujuze wakuu.
Mkapa est craignant d'être lié à Kikwete failures.He est sans aucun doute le meilleur président de ce pays ait jamais eu.
Hapendi ujinga wakati yeye ndio mjinga namba moja
Mkapa est craignant d'être lié à Kikwete failures.He est sans aucun doute le meilleur président de ce pays ait jamais eu.
"Mtaji wa mjinga ni majungu" acha majungu kijanaNdugu wanajamii hope mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku ya ujenzi wa taifa letu, kuna swala limekuwa likinitatiza sana kuhusu viongozi wetu hawa wa kitaifa yaani raisi Kikwete na raisi mstaafu Mkapa imekuwa ni nadra sana kumuona mkapa anauzulia sherehe za kiserikali au hafla zingine tu ambazo Jk amekuwa mgeni rasmi, mfano juzi wakati wa ufunguzi wa bunge maalumu la katiba niliona viongozi karibu wote ila Mkapa hakutokea, tatizo ni nini wadau? mwenye ufahamu juu ya hili atujuze wakuu.
Mkapa is afraid of being linked to failures.He Kikwete is undoubtedly the best president this country has ever had.
Ujinga wa Ben uko wapi!! Kakavua ujinga Wa Ben,zen nadadavua ujinga wa Jakaya
Ujinga wa jk uko wapi?
ile mipasho huoni kuwa ni ujinga ule!!!!!!Ujinga wa jk uko wapi?
azpera momento!Êtes-vous un congolais, rwandais ou jamais vécu en France? Vous effrayer l'enfer hors de moi, vous man.But traduit contrairement à ce que je voulais dire, vous induit en erreur peopl.o