Kuna nini kati ya john bocco na uongozi wa simba?

Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,660
11,641
Huyu ni captain wa simba, siku ya kucheza mechi ya mwisho na mtibwa sugar hakuwepo hata bench

Hata kwenye kukabidhiwa ubingwa hakuonekana
Na hakuna taarifa zilizotoka Je tatizo ni nini?
Mbona kunakuwa hakuna taarifa sahihi?

Kama hiyo haitoshi jana hajaonekana wakati simba iliporejea dar es salaam kutambulisha kombe kwa mashabiki

Kikawaida captain anapokosekana sisi mashabiki ni wajibu wetu kujua yupo wapi kiongozi wetu ndani ya uwanja

Ni sisi mashabiki wa Simba Ukawa
 
Mbioni kuelekea Azam.
Usichanganywe na ule makataba wa miaka miwili, matajiri wanauvunja tu.
 
Amejisalimisha mwenyewe kwa matajiri wa mji, na kwa sasa yupo mahali salama mitaa ya jangwani. Muda wowote kuanzia sasa tutamtambulisha.
 
Back
Top Bottom