Kuna nini kati ya hazina na VODACOM?

Kuna nini kati ya hazina na VODACOM?

Gagnija

Platinum Member
Joined
Apr 28, 2006
Posts
13,396
Reaction score
13,803
Juzi nimekwenda TRA kulipia vehicle license, nikapewa utaratibu mpya wa kulipia kwa MPesa. Mashine tunazolazimishwa kutumia kutolea risiti za mauzo zimeunganishwa kwenye mtandao wa VODACOM. VODACOM ndio mawakala rasmi wa kukusanya mapato ya serikali? Walipewa na nani uwakala huu?
 
Aaaaah yaani cha juu hapo ndio kimepewa kipaumbele zaidi
 
mkuu unazungumzia mashine za Maxmalipo? Mana najua hao ndo wanakusanya malipo ya road licence
 
Juzi nimekwenda TRA kulipia vehicle license, nikapewa utaratibu mpya wa kulipia kwa MPesa. Mashine tunazolazimishwa kutumia kutolea risiti za mauzo zimeunganishwa kwenye mtandao wa VODACOM. VODACOM ndio mawakala rasmi wa kukusanya mapato ya serikali? Walipewa na nani uwakala huu?

si kweli kua unatakiwa kulipia kwa mpesa pekee. utaratibu huo umeanza toka mwezi wa nane mwaka jana, na unaweza lipa kwa mpesa,tigopesa,airtelmoney na maxmalipo
 
Juzi nimekwenda TRA kulipia vehicle license, nikapewa utaratibu mpya wa kulipia kwa MPesa. Mashine tunazolazimishwa kutumia kutolea risiti za mauzo zimeunganishwa kwenye mtandao wa VODACOM. VODACOM ndio mawakala rasmi wa kukusanya mapato ya serikali? Walipewa na nani uwakala huu?

Mzee hujui vodacom kuna wazee wana shea kubwa sana? Nasikia mzee mamvi yupo ndani pia spika mstaafu yupo ndani na yule mbunge wa igunga aliye jiudhuru yupo ndani.
 
Rostam tajiri mkubwa tanzania lakini kampuni ya vodacom haipo kwenye top 10 large tax payers wa TRA.Yaani inapitwa hata na airtel
 
Wewe lipia acha kulalamika gharama si zilezile!!! mnarahisishiwa huduma mnaanza kulalalamika

Kwanini unatoa jibu jepesi kwa jambo linalohitaji tafakuri nzito? Kinachojadiliwa hapa ni kwamba mchakato uliopelekea mahusiano hayo ya Voda na TRA ulifanyika lini, wapi na ukihusisha taratibu zipi. Je ilidhibitika vipi kwamba Voda inajiweza katika jambo hilo kuliko mitandao mingine? Na kwanini iwe lazima Voda na sio mtandao wowote kulingana na nafasi ya mhusika? Je hili sio dili kama madili mengine yanayojaza fedha kwenye mifuko ya mafisadi na kuwaacha Watanzania wakitopea kwenye umasikini? Kwa namna ulivyojibu ni kama mtu mwenye maslahi kwenye jambo hilo........ TAFAKARI KABLA HUJAJIBU
 
unaweza kulipa kwa mpesa, airtel money, tigo pesa au maximalipo kwa hiyo huduma imerahisishwa, hizo hisia zenu mbaya kuwa kuna rushwa zifuteni maana hazina maana.
 
Shukrani mkuu kwa majibu mazuri, labda tuwaulize wameshalipa wakaja wakadaiwa tena? Kazi kulalamika tu. Tunanunua umeme na bili zingine gharama ni zilezile tu iwe kwa mtandao au ofisini
 
unaweza kulipa kwa mpesa, airtel money, tigo pesa au maximalipo kwa hiyo huduma imerahisishwa, hizo hisia zenu mbaya kuwa kuna rushwa zifuteni maana hazina maana.

Asante kwa ufafanuzi mzuri. Ila ukiisoma vizuri hii mada utagundua kuna tatizo la uwasilishwaji. Mleta mada hakufafanua kama wewe na kama angefafanua kama wewe sidhani kama kungekuwa na haja ya kuileta hapa jukwaani.
 
mashine zinaline za voda na aritel nafanya kaz hzo za efd' so c voda wenyewe
 
Kwanini unatoa jibu jepesi kwa jambo linalohitaji tafakuri nzito? Kinachojadiliwa hapa ni kwamba mchakato uliopelekea mahusiano hayo ya Voda na TRA ulifanyika lini, wapi na ukihusisha taratibu zipi. Je ilidhibitika vipi kwamba Voda inajiweza katika jambo hilo kuliko mitandao mingine? Na kwanini iwe lazima Voda na sio mtandao wowote kulingana na nafasi ya mhusika? Je hili sio dili kama madili mengine yanayojaza fedha kwenye mifuko ya mafisadi na kuwaacha Watanzania wakitopea kwenye umasikini? Kwa namna ulivyojibu ni kama mtu mwenye maslahi kwenye jambo hilo........ TAFAKARI KABLA HUJAJIBU

Poor poor poor.... watz umasikini umewadumaza akili. Mda wote mnawaza kimaskini maskini. Poleni sana.
Kuna maxmalipo, tigopesa, airtel money na mabenki yote yanatoa huduma za tra kama huduma zingine zitolewazo na makampuni hayo...

Pooote mmeona sio issue, tatizo ni vodacom na mpesa yao kisa kuna watu mnaowajua kwa sababu zenu binafsi za ki-chuki chuki zenu kama sehem ya wamiliki hivyo hapafai kupata tenda za kutoa huduma zitolewazo na taasisi zingne....

Hii kweli kali.. JF ukiitafakari kwa jicho la mbali ni kama kijiwe cha kahawa hivi tofauti ni teknolojia itumikayo kuwasilisha mawazo...
Watoa mada wanaandika pumba tupu zilizojaa kila aina ya ufukara wa mawazo bado nao eti wanajiita great thinker!!!

Hata kama hutaki kuandika ila ukisoma upuuzi wa wachangiaji unashawishika kujibu hz pumba.

Ndg badirikeni. Wakati mna mawazo mgando, dunia inasonga na watu wanatumia kila aina ya fursa inayopatikana kujiletea maisha bora...

Kalieni hayo majungu kutwa busy kujadili maisha ya watu tu. Lakini kumbukeni fainali uzeeni.
 
umeisoma vizuri mada? Mleta mada hakueleza kuwa mitandao yote inahusika hayo ni mapungufu alitaka kutuaminisha kuwa Voda wamepata nafasi hiyo kiupendeleo. Yaaah umeniondoa ukungu japo si katika lugha nzuri lakini nimejua..... Asante mkuu
 
unaweza kulipa kwa mpesa, airtel money, tigo pesa au maximalipo kwa hiyo huduma imerahisishwa, hizo hisia zenu mbaya kuwa kuna rushwa zifuteni maana hazina maana.
What about EFDs! Kuna mtandao uliounganishwa tofauti na Voda?
 
Poor poor poor.... watz umasikini umewadumaza akili. Mda wote mnawaza kimaskini maskini. Poleni sana.
Kuna maxmalipo, tigopesa, airtel money na mabenki yote yanatoa huduma za tra kama huduma zingine zitolewazo na makampuni hayo...

Pooote mmeona sio issue, tatizo ni vodacom na mpesa yao kisa kuna watu mnaowajua kwa sababu zenu binafsi za ki-chuki chuki zenu kama sehem ya wamiliki hivyo hapafai kupata tenda za kutoa huduma zitolewazo na taasisi zingne....

Hii kweli kali.. JF ukiitafakari kwa jicho la mbali ni kama kijiwe cha kahawa hivi tofauti ni teknolojia itumikayo kuwasilisha mawazo...
Watoa mada wanaandika pumba tupu zilizojaa kila aina ya ufukara wa mawazo bado nao eti wanajiita great thinker!!!

Hata kama hutaki kuandika ila ukisoma upuuzi wa wachangiaji unashawishika kujibu hz pumba.

Ndg badirikeni. Wakati mna mawazo mgando, dunia inasonga na watu wanatumia kila aina ya fursa inayopatikana kujiletea maisha bora...

Kalieni hayo majungu kutwa busy kujadili maisha ya watu tu. Lakini kumbukeni fainali uzeeni.

Kiongozi punguza makali kidogo.
 
Back
Top Bottom