Kuna nini Clouds FM hasikiki huku mikoani?

Kuna nini Clouds FM hasikiki huku mikoani?

goroko77

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2019
Posts
8,839
Reaction score
13,129
Wakuu alamsiki.

Wakuu, ni siku tatu sasa cpati Clouds FM hewani. Siyo mpenzi ila kuna vipindi viwili hivi naweza kusikiliza nikipata muda. Sana Sport Extra na Power Breakfast asubuhi otherwise nita-tune RFA kusikiliza Dira ya Dunia na DW ya mchana navipenda sana vipindi hvyo.

Sasa ajabu leo ni siku ya tatu hawasikiki na wala sijasikia tamko lolote kutoka kwao. Je, kuna lolote limetokeaa huko kwenye kurusha masafa ya mbali ya mitabendi 88.9 Khw Singida.

Je, ni huku tu ndio hakusikiki au ni nchi nzima. Hata hvyo hataispo sikika haina noma maana wale jamaa wa Clouds Media Group wanajiona werevu sanaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je ni huku tu ndio hakusikiki au ni nchi nzimaa ...hata hvyo hataispo sikika haina noma maana wale jamaa wa CMG wanajiona werevu sanaaa Sent using [URL=http://r.tapatalk.com/byo?rid=77694 said:
Jamii Forums mobile app[/URL]
Sijakuelewa hapo mkuu

yess BiShoo haswaaA
 
Jamaa yangu pale Chuga alinipigia kuniuliza huku Unguja kama naipata nikamwambia inasikika na kukatika, labda kuna mende kala nyaya.
 
huku tulipo tuna zaidi ya mwezi hatuwapati clouds.
 
huku tulipo tuna zaidi ya mwezi hatuwapati clouds.
Hawako hewani kabisa tangu Jumatatu. Binafsi imebidi niingie TuneIn ambapo nawapata vizuri. Bila kusikia PB, Jahazi na Sports Extra Sikh yangu inakuwa mbaya. Jitahidini Clouds kurudisha huduma mikoani. Washabiki wenu ambao hawawezi kumudu kutumia data wanaumia.
 
Back
Top Bottom