Ulipata kutembea kidogo miaka ya nyuma ukaenda Zimbabwe?Nafikiri ni kwa sababu ya mapenzi ya dhati
Na mahaba pia.Nafikiri ni kwa sababu ya mapenzi ya dhati
Haitaweza kuwa hivyo Tanzania na UBASHIRI HUO USHINDWE KWA JINA LA YESU!Ulipata kutembea kidogo miaka ya nyuma ukaenda Zimbabwe?
Uliwahi kufika huko msimu wa birthday ya Mugabe?
Basi kule sherehe yake ilikuwa kama ya kitaifa, na hata siku zote za maisha ya kawaida asilimia 90% Mugabe alikuwa "mungu" wao kama inavyotaka kuwa Tanzania.
Lakini baada ya shida kushindwa kuzoeleka jeshi likaamua kumuweka pembeni. Ajabu ni kuwa 90% ya RAIA ndio walioingia tena mitaani kushangilia. Hiyo ndio formula ya tawala za kibabe na kidikteta hasa kwa Afrika.
Tafakari.
Mkuu upendo haulazimishwi, mtu akipenda kinafiki utajua tuu! na hakuna upendo wa kweli kama wa mtoto, mtoto akipenda amependa na sio unafiki, Upendo niliouona kipindi hiki kwa mheshimiwa ni mpaka kwa watoto wadogo kabisa, sasa mkuu huu ni upendo wa kweli kabisaUlipata kutembea kidogo miaka ya nyuma ukaenda Zimbabwe?
Uliwahi kufika huko msimu wa birthday ya Mugabe?
Basi kule sherehe yake ilikuwa kama ya kitaifa, na hata siku zote za maisha ya kawaida asilimia 90% Mugabe alikuwa "mungu" wao kama inavyotaka kuwa Tanzania.
Lakini baada ya shida kushindwa kuzoeleka jeshi likaamua kumuweka pembeni. Ajabu ni kuwa 90% ya RAIA ndio walioingia tena mitaani kushangilia. Hiyo ndio formula ya tawala za kibabe na kidikteta hasa kwa Afrika.
Tafakari.
Tutafakari nini sasa hapo, embu funguka vizuri kama mtt wa kiumeUlipata kutembea kidogo miaka ya nyuma ukaenda Zimbabwe?
Uliwahi kufika huko msimu wa birthday ya Mugabe?
Basi kule sherehe yake ilikuwa kama ya kitaifa, na hata siku zote za maisha ya kawaida asilimia 90% Mugabe alikuwa "mungu" wao kama inavyotaka kuwa Tanzania.
Lakini baada ya shida kushindwa kuzoeleka jeshi likaamua kumuweka pembeni. Ajabu ni kuwa 90% ya RAIA ndio walioingia tena mitaani kushangilia. Hiyo ndio formula ya tawala za kibabe na kidikteta hasa kwa Afrika.
Tafakari.
hongereni wakazi wa maeneo hayo!!.......Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli wananchi wa KOLOMIJE & CHATO tuna upendo wa dhati sana dhidi yako .