SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 614
chuo cha IFM
kinahamishiwa Msata
Bagamoyo, Machinjio ya
kisisasa kinajengwa
bagamoyo, Bandari ya
kisasa nayo inajengwa
bagamoyo, barabara kubwa
ya kuenda Arusha, Tanga na
Mombasa itakuwa inapitia
Bagamoyo. Kwa nini
Bagamoyo tu na sio
sehemu zingine?
chuo cha IFM
kinahamishiwa Msata
Bagamoyo, Machinjio ya
kisisasa kinajengwa
bagamoyo, Bandari ya
kisasa nayo inajengwa
bagamoyo, barabara kubwa
ya kuenda Arusha, Tanga na
Mombasa itakuwa inapitia
Bagamoyo. Kwa nini
Bagamoyo tu na sio
sehemu zingine?
Kumbe ulitaka bandari ijengwe Tabora au barabara ya Dar -Mombasa ipitie Liwale?
Hamna neno mkuu, bagamoyo ni strategic position kwa uchumi ya nchi lakini wenyeji sio wachakarikaji. Kwa hivyo mipango ya serikali kuendeleza eneo hilo ni sawa kabisa.chuo cha IFM
kinahamishiwa Msata
Bagamoyo, Machinjio ya
kisisasa kinajengwa
bagamoyo, Bandari ya
kisasa nayo inajengwa
bagamoyo, barabara kubwa
ya kuenda Arusha, Tanga na
Mombasa itakuwa inapitia
Bagamoyo. Kwa nini
Bagamoyo tu na sio
sehemu zingine?