Kama waarabuHivi vi Japani ni vijitu vya hovyo kwenye ulimwengu huu wa utandawazi. Nilikuwa nasikia juu juu kwamba ni vibaguzi ila nilikuwa siamini kwa sababu nikikosa ushahidi...
Kuna yule mcheza tennis kama sikosei.Kuna watu wawili maarufu nawajua ni mixed, black na Japanese..kipa wa Japan Toyota,na Miss Japan
Ndio tatizo pia la JEPS,Kuna kitabu kinaitwa A Town like Alice,kinaeleza ukatili wa wajapan katika vita vya pili vya Dunia,sababu kubwa kama uliyosema wewe,walikua wanajiona na kuaminishwa kua wao ni jamii Bora kupita zote duniani,na wao tu ndio wanastahili kuishiKuna yule mcheza tennis kama sikosei.
Kipa nilimuona kwenye michuano yao ya asia.
Sipatii picha japan ingetawala dunia kama america, tumgekoma mara 10 ya muamerica. Nahisi damu ingemwagika zaidi, ni kama waMONGOLI kwenye ubora wao, yani wao ni wanajiona bora kuliko maelezo, wachina wanawajua vizuri hawa wahuni.
Hakuna sumu mbaya zaidi ya kujiona wewe ni bora zaidi.Ndio tatizo pia la JEPS,Kuna kitabu kinaitwa A Town like Alice,kinaeleza ukatili wa wajapan katika vita vya pili vya Dunia,sababu kubwa kama uliyosema wewe,walikua wanajiona na kuaminishwa kua wao ni jamii Bora kupita zote duniani,na wao tu ndio wanastahili kuishi
Ukipanda nao treni huko kwao,baada ya muda utakuta wamekutenga,umekaa peke yakoSina uhakika sana ila nimewahi kusikia kuwa Wajapan ni jamii moja ya watu wastaarabu sana hapa duniani