Kuna namna Rage alikuwa sawa

kilwakivinje

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
6,002
9,091
Kabla ya mechi za leo sisi mashabiki wa simba tuliambiwa hapa jf tuchague upande either yanga anakufa Kigali au laah. Ili rusionekane vigeugeu mbeleni, tukachagua upande wa wasudan

Leo baada wa Sudan wamechezea tumeanza visababu. Kuna namna rage alikuwa Sawa maana kuna umbumbumbu na mashabiki mipang'ang'a wengi sana upande wetu.

Ndiyo maana mwamedi anatuburuza kwa tuvitu tudogo sababu ya umbumbumbu wetu. Tunadilike wanalunyasi wenzangu.
 
Kabla ya mechi za leo sisi mashabiki wa simba tuliambiwa hapa jf tuchague upande either yanga anakufa Kigali au laah.
Ili rusionekane vigeugeu mbeleni, tukachagua upande wa wasudan

Leo baada wa sudan wamechezea tumeanza visababu. Kuna namna rage alikuwa Sawa maana kuna umbumbumbu na mashabiki mipang'ang'a wengi sana upande wetu.

Ndio maana mwamedi anatuburuza kwa tuvitu tudogo sababu ya umbumbumbu wetu. Tunadilike wanalunyasi wenzangu.
Aahaaaaaa
 
Unamzungumzia huyu robo robo fc? Msimu huu ataishia raundi ya kwanza.
 
Kabla ya mechi za leo sisi mashabiki wa simba tuliambiwa hapa jf tuchague upande either yanga anakufa Kigali au laah.
Ili rusionekane vigeugeu mbeleni, tukachagua upande wa wasudan

Leo baada wa sudan wamechezea tumeanza visababu. Kuna namna rage alikuwa Sawa maana kuna umbumbumbu na mashabiki mipang'ang'a wengi sana upande wetu.

Ndio maana mwamedi anatuburuza kwa tuvitu tudogo sababu ya umbumbumbu wetu. Tunadilike wanalunyasi wenzangu.
Aliyeelewa anitag
 
Back
Top Bottom