Kuna namna Rage alikuwa sawa

Kabla ya mechi za leo sisi mashabiki wa simba tuliambiwa hapa jf tuchague upande either yanga anakufa Kigali au laah. Ili rusionekane vigeugeu mbeleni, tukachagua upande wa wasudan

Leo baada wa Sudan wamechezea tumeanza visababu. Kuna namna rage alikuwa Sawa maana kuna umbumbumbu na mashabiki mipang'ang'a wengi sana upande wetu.

Ndiyo maana mwamedi anatuburuza kwa tuvitu tudogo sababu ya umbumbumbu wetu. Tunadilike wanalunyasi wenzangu.
Kwani wewe ni shabiki wa Simba kwa mwandiko huo?
 
Back
Top Bottom